Raimundo
JF-Expert Member
- May 23, 2009
- 13,416
- 12,618
MHH CWEZI KUBADILIKA KWA SHERIA YAKO HYO.
HAINA MASHIKO.
Basi sawa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MHH CWEZI KUBADILIKA KWA SHERIA YAKO HYO.
HAINA MASHIKO.
UMEJITAHIDI KIDOGO, NGOJA NAMI NIKUPE UZI MMOJA HAPA CHINI/ INTRO....Amesema Allaah سبحانه وتعالى
((وَلَن تَرْضَى عَنكَ الْيَهُودُ وَلاَ النَّصَارَى حَتَّى تَتَّبِعَ مِلَّتَهُمْ))
((Mayahudi hawawi radhi nawe, wala Wakristo, mpaka ufuate mila yao)) Al-Baqarah:120
Miongoni mwa mila zao makafiri ni hizo za kuwasha mishumaa na kupuliza, na kuweka muziki na kadhalika, yote hayo ni mafundisho ya baatil yasiyompasa Muislamu kuyafuata bali ni kufuata mwendo wa Mtume صلى الله عليه وآله وسلم pamoja na Wema Waliotangulia (Salaf Swaalih) ambao haijathibitika kuwa walikuwa wakishereheka siku zao za kuzaliwa abadan.
Kwa hiyo haifai kushehereka kwa kuwatembelea wagonjwa na kulisha masikini, kwani kufanya hivyo itakuwa ni mafundisho kwa wengine kuwa jambo hili linafaa kwa vile eti halina muziki au hupulizi mishumaa. Na kusita kwako kufanya hivyo itakuwa ni mafundisho ya wenzako na kizazi chako kuendelea kujiepusha na mila hizi na kila atakayewacha kufanya kwa mafundisho yako basi utapata thawabu zako kutoka kwa Allaah سبحانه وتعالى .
Kuna utata kati ya siku ya kuzaliwa na tarehe ya kuzaliwa. Kwa kawaida siku zinatambulika kama Jumatatu, Jumanne, Jumatano, nk. Kwa upande wa tarehe zinasomeka namba ambazo ni tarehe 1 hadi 31 kutegemea na mwezi.Huwa napata shida sana kwa hii cku yangu ya kuzaliwa, nikisema nisherehekee trh 28 au trh 1 Machi, naona km najidanganya. Naomba ushauri wadau, au niwe napotezea kwa miezi inayoishia na trh 28, na nikipotezea inabidi niwe nasherehekea kila baada ya miaka minne ili ipatikane hyo 29.
Kalenda hii ya kizungu hainitendei haki au nibadilishe kalenda....
HAKUNA HAJA ILIMRADI UMESHAELEWAKuna utata kati ya siku ya kuzaliwa na tarehe ya kuzaliwa. Kwa kawaida siku zinatambulika kama Jumatatu, Jumanne, Jumatano, nk. Kwa upande wa tarehe zinasomeka namba ambazo ni tarehe 1 hadi 31 kutegemea na mwezi.
Samahani naomba utujuze unachozungumzia ni tarehe au siku?