Birthday yangu tarehe 29 Feb

AHAA NIMEKUPATA KIASI.................
ILA HUJUI KM NAWEZA PIA KUSHEREHEKEA HYO B'DAY YANGU KWA KUTOA SADAKA AU KUWALISHA MASKINI AU KUFANYA LOLOTE JEMA. NA C LAZIMA NIPOTEZE PESA KM UNAVYOFIKIRIA.

Kuandika kwa herufi kubwa ina maanisha unapayuka au kukaripia.

Tumia herufi ndogo mkuu.
 
Kuna swali la kujiuliza hapa kwann februar zingne zna siku 28 na zngne 29.
 
Ha ha ha ha ha... ndo Happy Birthday sio? Ujinga ukizoeleka unaokana kawaida.
 
AHAA NIMEKUPATA KIASI.................
ILA HUJUI KM NAWEZA PIA KUSHEREHEKEA HYO B'DAY YANGU KWA KUTOA SADAKA AU KUWALISHA MASKINI AU KUFANYA LOLOTE JEMA. NA C LAZIMA NIPOTEZE PESA KM UNAVYOFIKIRIA.
haupaswi usheherekee kwa kutoa sadaka na kuwalisha masikini au kufanya lolote jema kumbuka Uislamu haufungamani na siku hiyo wala usisubiri hiyo siku ifike ndiyo ufanye mema bali unapaswa uyafanye hayo wakati wote wa maisha yako(yetu) nawewe nimeona sehemu umesema una (pesa) hivyo zitumie kwaajili ya mambo mema.

ni kuwa hutakiwi usheherekee bali utumie siku hiyo kwa kuyafanya hayo uliyoyasema na ufanye kwa ajili ya Allah na si kwaajili ya siku ya kuzaliwa.
 
Kuandika kwa herufi kubwa ina maanisha unapayuka au kukaripia.

Tumia herufi ndogo mkuu.
HYO NI STAILI YANGU, TAFUTA STAILI YAKO,
NA ULIFUNDISHWA NA NAN ETI UKITUMIA HERUFI KUBWA NDO KUKARIPIA.
 
nikuulize swali dogo huenda ukaelewa ukinijibu hili basi utakuwa umeelewa

1.ninini maana ya mfumo wa maisha ya kila siku kwa Muislamu?

2.nini maana ya kusherekea?

jiulize hayo maswali halafu mimi ninaomba unijibu kwa hili swali hapa chini?

unaweza kusheherekea sikukuu mfano, krismas au pasaka kwa kutoa sadaka, kutembelea wagonjwa, kulisha masikini ikiwa wewe ni Muislamu??
 
KABLA YA KUJIBU HAYO,
NIPE AYA YA QURAN AU HADITH ILIYOKATAZA KUSHEREHEKEA HBD.
ALAF NITAKUJIBU.
 
AHAA WAZUNGU NDO WAMEKUFUNDISHA,
HATA KIINGEREZA NI KM HUKIELEWI,
ALIYEKUFUNDISHA KAKUAMBIA....."is Like"
YE MWENYEWE HAJUI ILA ANAFANANISHA TU NA "Shouting".

Sawa mkuu, endelea na style yako ya huo uandishi.

Ila nina uhakika utakuwa umejifunza kitu na si siku nyingi utabadilika.
 
KABLA YA KUJIBU HAYO,
NIPE AYA YA QURAN AU HADITH ILIYOKATAZA KUSHEREHEKEA HBD.
ALAF NITAKUJIBU.
Amesema Allaah سبحانه وتعالى

((وَلَن تَرْضَى عَنكَ الْيَهُودُ وَلاَ النَّصَارَى حَتَّى تَتَّبِعَ مِلَّتَهُمْ))

((Mayahudi hawawi radhi nawe, wala Wakristo, mpaka ufuate mila yao)) Al-Baqarah:120

Miongoni mwa mila zao makafiri ni hizo za kuwasha mishumaa na kupuliza, na kuweka muziki na kadhalika, yote hayo ni mafundisho ya baatil yasiyompasa Muislamu kuyafuata bali ni kufuata mwendo wa Mtume صلى الله عليه وآله وسلم pamoja na Wema Waliotangulia (Salaf Swaalih) ambao haijathibitika kuwa walikuwa wakishereheka siku zao za kuzaliwa abadan.

Kwa hiyo haifai kushehereka kwa kuwatembelea wagonjwa na kulisha masikini, kwani kufanya hivyo itakuwa ni mafundisho kwa wengine kuwa jambo hili linafaa kwa vile eti halina muziki au hupulizi mishumaa. Na kusita kwako kufanya hivyo itakuwa ni mafundisho ya wenzako na kizazi chako kuendelea kujiepusha na mila hizi na kila atakayewacha kufanya kwa mafundisho yako basi utapata thawabu zako kutoka kwa Allaah سبحانه وتعالى .
 
Sawa mkuu, endelea na style yako ya huo uandishi.

Ila nina uhakika utakuwa umejifunza kitu na si siku nyingi utabadilika.
MHH CWEZI KUBADILIKA KWA SHERIA YAKO HYO.
HAINA MASHIKO.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…