mimi nimeona kwanza huo mkono wa kushoto wa Madame B
tena nikaona hilo beseni analonawishiwa miguu
daah lazima zimtoke japo sijafurahia saaaana hii picha.
Ni yeye kweli Bishanga lakini nahisi hiyo picha ni photo shop..
Ndio tatizo la kuwa maarufu maana wachora katuni kama kina Nivea hawaishi visa kama Masoud Kipanya
ni yeye kweli bishanga lakini nahisi hiyo picha ni photo shop..
Ndio tatizo la kuwa maarufu maana wachora katuni kama kina nivea hawaishi visa kama masoud kipanya
Baby Nivea hivi ulipo set auto camera ikajifyatua kumbe shida yako uje ku declare teritory,sawa dear........ndugu wana cc kuanzia leo natangaza rasmi bishanga na Nivea ni kapo,mpaka kifo kitutenganishe!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.