BISHANGA :Kumbe makelele yako mwisho ni hapa!!

mimi nimeona kwanza huo mkono wa kushoto wa Madame B
tena nikaona hilo beseni analonawishiwa miguu
daah lazima zimtoke japo sijafurahia saaaana hii picha.
wakeze wote wanakataa basi alikuwa kwa mke mwenzenu ambaye hamumfahamu hilo gagulo alilovaaa hahaahahahahaah Bishanga hahahaahah
 
Last edited by a moderator:
siunaona mtambuzi amekubali huyo ni Bishanga hahahahaahahah ndio nshamuumbua tena hahhaahahah
Ni yeye kweli Bishanga lakini nahisi hiyo picha ni photo shop..
Ndio tatizo la kuwa maarufu maana wachora katuni kama kina Nivea hawaishi visa kama Masoud Kipanya
 
Last edited by a moderator:
hihihihihihihihihihihiihihihihih................hihihihihihihihiihhih...............hihihiihiihihiihihi
siisii sosoliso
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…