Kesho ni zamu yenu kulia, nawaambia hamtaamini hadi msimu unaisha huu. Kwa sababu tumeshajua kuwa kuna watu wanatumwa. Ubaya unatakiwa kulipwa kwa ubaya.Naamini kuanzia leo tutasikia kelele za FAIR PLAY baada ya kuchezewa rafu ya kawaida mcheza rafu Maarufu INONGA.
Nawakumbusha tu Watu wenu wanapenda mpira wa kimama mama.Tukiwaambia hamna fitness couch mnaona tunapiga kelele.Sasa tunaenda kuelewana,Huyo mwamba wenu nae ni suala la muda tu.Endeleeni kulalamika kwamba mnakamiwa.Kama hamtaki kuguswa kachezeni DRAFT.
Kelele zenu hazitasidia kitu mazoezi ni kila kitu.
Nyanyua basi uto..Makolo mna shida mahali,Sawa mnaongoza ligi🤣🤣
Ugumu wa maisha unachangia hili.Ushabiki wa bongo ni wa kiroho mbaya sana unaakisi maisha halisi ya watu yaani roho za kutu!!
Huyo punguwani wenu Popoma Genta si kaanzisha thread kabisa humu ya kumvunja mguu Mayele? Mmewahi kumkemea?Inashangaza sana kuona mtu mwenye akili timamu unafurahia mchezaji kuumizwa.
Mkuu mbona umemtaja genta wakati nimecomment mimi? Sabuni na maji zingetosha kutuondolea watu kama nyie.Huyo punguwani wenu Popoma Genta si kaanzisha thread kabisa humu ya kumvunja mguu Mayele? Mmewahi kumkemea?
Kwa mtu anaependa mpira, huwezi furahia kuumia kwa mchezaji eti tu kwa sababu hachezei timu yako.Mpira ni mchezo wa kiungwana, Ushabiki usipelekee kufurahia mchezaji kuumizwa Kwa maksudi. Rafu Moja mbaya inaweza kupoteza ajira ya mtu na ulemavu wa kudumu.
Kajambe.Mkuu mbona umemtaja genta wakati nimecomment mimi? Sabuni na maji zingetosha kutuondolea watu kama nyie.
Vete ala mierda ujifunze kuwa na akili we kibonde.Kajambe.
Mbumbumbu wana tabu sana.Hapo ndo utajua Makolo akili zao ndogo sana.Walimshangilia sana Popoma kipindi anawapa mbinu mabeki wamuumize MAYELE.