Bishoo wenu nje

Bishoo wenu nje

Naamini kuanzia leo tutasikia kelele za FAIR PLAY baada ya kuchezewa rafu ya kawaida mcheza rafu Maarufu INONGA.

Nawakumbusha tu Watu wenu wanapenda mpira wa kimama mama.Tukiwaambia hamna fitness couch mnaona tunapiga kelele.Sasa tunaenda kuelewana,Huyo mwamba wenu nae ni suala la muda tu.Endeleeni kulalamika kwamba mnakamiwa.Kama hamtaki kuguswa kachezeni DRAFT.

Kelele zenu hazitasidia kitu mazoezi ni kila kitu.
Kesho ni zamu yenu kulia, nawaambia hamtaamini hadi msimu unaisha huu. Kwa sababu tumeshajua kuwa kuna watu wanatumwa. Ubaya unatakiwa kulipwa kwa ubaya.
 
JF member anaandika kitoto Hivi.

Ama kweli Great thinker inakufa kwa kwa Kasi sana.
 
Hua sipendi kabisa rafu mbaya na hatatishi kwa wachezaji ila kwa huyu Inonga nimefurahi sana. Na angezidisha zaidi na hata akarusha mguu shingoni sawasawa na alivyotaka kumfanya Sureboy.

Mhuni sana huyu jamaa.
 
Mpira ni mchezo wa kiungwana, Ushabiki usipelekee kufurahia mchezaji kuumizwa Kwa maksudi. Rafu Moja mbaya inaweza kupoteza ajira ya mtu na ulemavu wa kudumu.
Kwa mtu anaependa mpira, huwezi furahia kuumia kwa mchezaji eti tu kwa sababu hachezei timu yako.

Kwa anaefuatilia michezo anajua wacheji hawana timu, leo ni mchezaji wa timu yako kesho ni wa timu pinzani. Na hii haikuanishwa na akina Morrison ipo kabla hata ya akina Zamoyoni Mogela, au methody Mogela, au hapa karibuni Mrisho Ngasa.

Naona jamaa ananiambia na Ramadhani Waso, ni wengi ili nimeweka hao wacha kama mfano.
Ndugu yangu hawa ndiyo wanaitwa oya oya, ni wakuaacha kama walivyo.
 
Huyo punguwani wenu Popoma Genta si kaanzisha thread kabisa humu ya kumvunja mguu Mayele? Mmewahi kumkemea?
Hapo ndo utajua Makolo akili zao ndogo sana.Walimshangilia sana Popoma kipindi anawapa mbinu mabeki wamuumize MAYELE.
 
Mwanaume anaombea mwanaume mwenzie aumie[emoji26][emoji26]nchi ina vijana wa ajabu ajabu sana hii
 
Huna akili wewe, we ni mchawi aliye nyuma ya keyboard.
unafurahiaje mwanadamu mwenziyo kuumizwa kwa makusudi?

Mpira ni burudani siyo upuuzi kama uliouwasilisha hapa.
 
Back
Top Bottom