Bishoo wenu nje

Bishoo wenu nje

Huna akili wewe, we ni mchawi aliye nyuma ya keyboard.
unafurahiaje mwanadamu mwenziyo kuumizwa kwa makusudi?

Mpira ni burudani siyo upuuzi kama uliouwasilisha hapa.
Jifunze kwanza kuandika ndo Uje kwenye UZI wangu.
 
Naamini kuanzia leo tutasikia kelele za FAIR PLAY baada ya kuchezewa rafu ya kawaida mcheza rafu Maarufu INONGA.

Nawakumbusha tu Watu wenu wanapenda mpira wa kimama mama.Tukiwaambia hamna fitness couch mnaona tunapiga kelele.Sasa tunaenda kuelewana,Huyo mwamba wenu nae ni suala la muda tu.Endeleeni kulalamika kwamba mnakamiwa.Kama hamtaki kuguswa kachezeni DRAFT.

Kelele zenu hazitasidia kitu mazoezi ni kila kitu.
Haya makasiriko sasa noma
 
Back
Top Bottom