Bishop Gwajima: Hamnitishi kitu, nilicho nacho nimepewa na Mungu

Bishop Gwajima: Hamnitishi kitu, nilicho nacho nimepewa na Mungu

Kamanda Asiyechoka

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2020
Posts
3,315
Reaction score
5,058
"Mungu akikupa amekupa, Wanadamu wakikupa ukiwapingapinga kidogo wanasema tukunyang'anye tulichokupa, heri kupewa na Mungu kuliko kupewa na Wanadamu,mimi hunitishi kitu kwasababu kila nilichonacho nimepewa na Mungu" Mhe. Josephat Gwajima, mbunge wa Kawe kuptia CCM
https://t.co/08EMrlwm6

IMG_20211219_175922.jpg
 
Kodi gani kwa taasisi za dini?
Sio kila mali za taasisi za dini hazilipi Kodi,usiwe mbumbumbu.RC na madhehebu mengine Wana mali wanazoziendesha kibiashara yaani sio huduma wanalipa Kodi.

Sasa walokole wanaojiita mitume na manabii wanamiloki mali kwa majina yao ukiwauliza kwa nini hawalipi Kodi wanasingizia za dini.

Sasa dini inatumika kama kichaka cha kukwepa Kodi,.Mwambieni gwajiboy tunakuja alipe Kodi.
 
Mbumbumbu mama yako, ni biashara gani anafanya Gwajima fafanua.
 
"Mungu akikupa amekupa, Wanadamu wakikupa ukiwapingapinga kidogo wanasema tukunyang'anye tulichokupa, heri kupewa na Mungu kuliko kupewa na Wanadamu,mimi hunitishi kitu kwasababu kila nilichonacho nimepewa na Mungu" Mhe. Josephat Gwajima, mbunge wa Kawe kuptia @ccm_tanzania https://t.co/08EMrlwm6, View attachment 2050010
Sisi wapiga kura wako wa jimbo la kawe tucomment wapi?

Mbunge wetu tunakumbushia ahadi yako yakuhamishia marekani vipi tunaondoka tarehe ngapi?
 
Mimi nafikiri kuwe na clear separation kati ya mali binafsi na mali za kanisa, misikiti, madhehebu yote.

Sadaka, dhaka,michango inawekwa kwenye account ya kanisa.

Kwamba mchungaji analipwa mshahara, anauza vitabu vyake binafsi hivyo viwekwe kwenye account binafsi.

Ila tufanye hivyo hivyo kwa makanisa yote, misikiti yote, madhehebu yote, dini zote.

KKKT, RC, Sunni, Shia, Hindu, Sikh, kwa Wakristo na Waislamu na wengine wote. Sheria hizo hizo zitumike Tanzania nzima bara na visiwani, dini zote, NGO zote.

CAG aangalie hesabu zao.

Zisilenge watu fulani, wachache, kuwanyamazisha wale wenye maoni tofauti na Serikali kwenye issue fulani, kusiwe na upendeleo wowote kidini, kimadhehebu.

TCRA, TRA visitumike kuwa vyombo vya kuthibiti maoni mbadala.
 
Back
Top Bottom