Bishop Gwajima: Hamnitishi kitu, nilicho nacho nimepewa na Mungu

Bishop Gwajima: Hamnitishi kitu, nilicho nacho nimepewa na Mungu

"Mungu akikupa amekupa, Wanadamu wakikupa ukiwapingapinga kidogo wanasema tukunyang'anye tulichokupa, heri kupewa na Mungu kuliko kupewa na Wanadamu,mimi hunitishi kitu kwasababu kila nilichonacho nimepewa na Mungu" Mhe. Josephat Gwajima, mbunge wa Kawe kuptia @ccm_tanzania https://t.co/08EMrlwm6, View attachment 2050010
Huyu jamaa anataka tusahau ile ahadi ya kutupeleka Birmingham na kujenga kiwanda cha uvuvi. Asitake kujifanya anataka kujiuzulu. Sisi tunataka twende zetu USA kama alivyoahidi
 
Ameguswa kwenye mfupa sio, atulie alipe kodi nchi haiwezi kuongozwa kijanja kijanja... haiwezekani mali za kanisa unaandika jina lako binafsi.
Neno la Mungu linalipiwa Kodi??? Gwajima hamuuwezi kufanya chochote
 
Gwajimaaaaaaaaaaaaaaa[emoji16][emoji16].Kama mnaweza mtekeni mumpeleke ununio.
 
Ameguswa kwenye mfupa sio, atulie alipe kodi nchi haiwezi kuongozwa kijanja kijanja... haiwezekani mali za kanisa unaandika jina lako binafsi.
Mbunge Jerry Slaa alisema wabunge hawalipi kodi. Kodi inayopotea kwa wabunge kutolipa inaweza kuwa kubwa kuliko hii ya makanisani na misikitini.
 
kanisa limempa mchungaji wake gari sasa unataka aandike jina la YESU ?
 
Back
Top Bottom