Bishop Gwajima: Hamnitishi kitu, nilicho nacho nimepewa na Mungu

Kodi gani kwa taasisi za dini?
Sio kila mali za taasisi za dini hazilipi Kodi,usiwe mbumbumbu.RC na madhehebu mengine Wana mali wanazoziendesha kibiashara yaani sio huduma wanalipa Kodi.

Sasa walokole wanaojiita mitume na manabii wanamiloki mali kwa majina yao ukiwauliza kwa nini hawalipi Kodi wanasingizia za dini.

Sasa dini inatumika kama kichaka cha kukwepa Kodi,.Mwambieni gwajiboy tunakuja alipe Kodi.
 
Mbumbumbu mama yako, ni biashara gani anafanya Gwajima fafanua.
 
Sisi wapiga kura wako wa jimbo la kawe tucomment wapi?

Mbunge wetu tunakumbushia ahadi yako yakuhamishia marekani vipi tunaondoka tarehe ngapi?
 
Mimi nafikiri kuwe na clear separation kati ya mali binafsi na mali za kanisa, misikiti, madhehebu yote.

Sadaka, dhaka,michango inawekwa kwenye account ya kanisa.

Kwamba mchungaji analipwa mshahara, anauza vitabu vyake binafsi hivyo viwekwe kwenye account binafsi.

Ila tufanye hivyo hivyo kwa makanisa yote, misikiti yote, madhehebu yote, dini zote.

KKKT, RC, Sunni, Shia, Hindu, Sikh, kwa Wakristo na Waislamu na wengine wote. Sheria hizo hizo zitumike Tanzania nzima bara na visiwani, dini zote, NGO zote.

CAG aangalie hesabu zao.

Zisilenge watu fulani, wachache, kuwanyamazisha wale wenye maoni tofauti na Serikali kwenye issue fulani, kusiwe na upendeleo wowote kidini, kimadhehebu.

TCRA, TRA visitumike kuwa vyombo vya kuthibiti maoni mbadala.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…