Huyu jamaa anataka tusahau ile ahadi ya kutupeleka Birmingham na kujenga kiwanda cha uvuvi. Asitake kujifanya anataka kujiuzulu. Sisi tunataka twende zetu USA kama alivyoahidi"Mungu akikupa amekupa, Wanadamu wakikupa ukiwapingapinga kidogo wanasema tukunyang'anye tulichokupa, heri kupewa na Mungu kuliko kupewa na Wanadamu,mimi hunitishi kitu kwasababu kila nilichonacho nimepewa na Mungu" Mhe. Josephat Gwajima, mbunge wa Kawe kuptia @ccm_tanzania https://t.co/08EMrlwm6, View attachment 2050010
Neno la Mungu linalipiwa Kodi??? Gwajima hamuuwezi kufanya chochoteAmeguswa kwenye mfupa sio, atulie alipe kodi nchi haiwezi kuongozwa kijanja kijanja... haiwezekani mali za kanisa unaandika jina lako binafsi.
Wewe ndiyo mhasibu wake???Alishindwa kujenga kanisa lake miaka yote,amekuwa mbunge kanisa linajengwa kwa kasi sana,ubunge unalipa
Anawafufua nyinyi misukule pekee,sio walioitwa na Mungu.huyu jamaa kitendo chake cha kutomfufua magufuli best yake, huku akifufua wengine nimemshangaa sana..
Kazi ipo"Mungu akikupa amekupa, Wanadamu wakikupa ukiwapingapinga kidogo wanasema tukunyang'anye tulichokupa, heri kupewa na Mungu kuliko kupewa na Wanadamu,mimi hunitishi kitu kwasababu kila nilichonacho nimepewa na Mungu" Mhe. Josephat Gwajima, mbunge wa Kawe kuptia @ccm_tanzania https://t.co/08EMrlwm6, View attachment 2050010
afufue wapi huyo mwongo?Anawafufua nyinyi misukule pekee,sio walioitwa na Mungu.
Ana mikwaraaaHuyu Mchungaji jana alisema anafunga ili kumfukuza Maleki,huyo Maleki mwenyewe hajatoka leo amekuja na mpya.
Una umbumbumbu mwingiMbumbumbu mama yako, ni biashara gani anafanya Gwajima fafanua.
Mbunge Jerry Slaa alisema wabunge hawalipi kodi. Kodi inayopotea kwa wabunge kutolipa inaweza kuwa kubwa kuliko hii ya makanisani na misikitini.Ameguswa kwenye mfupa sio, atulie alipe kodi nchi haiwezi kuongozwa kijanja kijanja... haiwezekani mali za kanisa unaandika jina lako binafsi.
Kodi ipi ww ma.tako......Alipe Kodi,anaweza kutuonyesha walipeana wapi na Mungu..Jina la Mungu lositumike kutapeli na kukwepa Kodi.
Kimya mpaka sasa hivi
Hujui kitu wewe ni mburulaKodi ipi ww ma.tako......
ulisikia wapi mambo ya dini yaba kodi