Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,314
- 93,919
Mh Gwajima, kwako wee Ubunge sio kitu, Maisha ulikua nayo makubwa hata kabla ya kua Mbunge.
Tofauti na Matajiri wanaingia CCM kua Wabunge ili wakwepe Kodi , Sikuoni wewe ni wa aina hiyo!!.
Mungu ana Mpango mkubwa Nawewe , Nikuombe na kukusihi sana katika wakati huu ambao Mh LISSU amekamatwa Kwa Hila, Njooo CHADEMA, Njooo CHADEMA, kipawa chako ,Mvuto wako, ushawishi wako, ikiingia CHADEMA ukajaza nafasi ya LISSU wakati huu ambao Hatujui LISSU WATAMUACHIA Lini, Njooo CHADEMA uijaze nafasi ya LISSU .
Soma Pia: Rais Samia: Tusi-gwajimanize chama chetu, Magwajima tuyaache huko nje. Ukicheza ngoma si yako lazima utaharibu
Mwaka huu uwe wa Mwisho kufanyiwa Uhuni, Mwaka wa mwisho Kwa Utekaji na Mauaji.
Gwajima Njooo CHADEMA , Njooo CHADEMA, Ubunge kwako sio kitu , Njoo CHADEMA Baba !!.