PreGE2025 Bishop Gwajima , Usisubiri wakate Jina lako, kuanzia leo anza kushusha nondo, Njoo CHADEMA tupambanie No Reforms,No Election

PreGE2025 Bishop Gwajima , Usisubiri wakate Jina lako, kuanzia leo anza kushusha nondo, Njoo CHADEMA tupambanie No Reforms,No Election

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Mh Gwajima, kwako wee Ubunge sio kitu, Maisha ulikua nayo makubwa hata kabla ya kua Mbunge.

Tofauti na Matajiri wanaingia CCM kua Wabunge ili wakwepe Kodi , Sikuoni wewe ni wa aina hiyo!!.

Mungu ana Mpango mkubwa Nawewe , Nikuombe na kukusihi sana katika wakati huu ambao Mh LISSU amekamatwa Kwa Hila, Njooo CHADEMA, Njooo CHADEMA, kipawa chako ,Mvuto wako, ushawishi wako, ikiingia CHADEMA ukajaza nafasi ya LISSU wakati huu ambao Hatujui LISSU WATAMUACHIA Lini, Njooo CHADEMA uijaze nafasi ya LISSU .

Soma Pia: Rais Samia: Tusi-gwajimanize chama chetu, Magwajima tuyaache huko nje. Ukicheza ngoma si yako lazima utaharibu

Mwaka huu uwe wa Mwisho kufanyiwa Uhuni, Mwaka wa mwisho Kwa Utekaji na Mauaji.

Gwajima Njooo CHADEMA , Njooo CHADEMA, Ubunge kwako sio kitu , Njoo CHADEMA Baba !!.
Km ni mpumbavu km wewe atasikiliza huo upuuzi wako. Ukweli hawezi jaribu, tofauti ya Gwajima na wewe ni kwamba we ni msukule hujulikani ht yakimpata huna la kumsaidia, we ni km wanawake wa uswahilini kuchochea wajinga yakimpata ht we bwege hujulikani. Kwl wajinga ndio waliwao
 
Kenge Mmoja wee, Kikwete alimshindwa ,Magufuli akamshindwa, Sembuse Samia???.

Gwajima umemjua Leo?? Pumbavu mkubwa.
 
Kuna ile pesheni wabunge watapewa ya takribani milion 300....... baada ya wiki tatu...angezisubiri tu..hizo ni fedha nyingi.
 
Back
Top Bottom