BISHOP KAKOBE::Tanganyika Huru Lazima Ipatikane

Nikiuchungulia ulimwengu wa roho nazisikia tarumbeta zinalia na Mungu aliyeumba Tanganyika analiambia lile joka la zamani liitwalo Ibilisi na shetani, 'itapike Tanganyika na mali zake ambazo ulikuwa unazitoa kwa wale wanaotoa kafara za watoto kwako, nimechoka na vifo vya watoto ambavyo umewadanganya watu wangu kuwa ni matatizo ya kiafya'.
 
Dini na siasa ni vitu viwili tafauti,ushauru wangu Askofu angalia neno la bwana acha siasa kwa wanasiasa

Siku hizi hamuwatoi watu kwenye hoja, mambo ya zamani eti siasa na dini ni vitu viwili tofauti? Siasa ni maisha sio taaluma, kama asiposema kakobe mtu mwingine atasema, asiposema mtu yeyote jiwe litasema.
 

Ehhh...ati??!!
 
Mapepo ya CCM yametibuka maana walidhani upuuzi wao utapita kimya kwa vile tayari wameshawahonga viongozi was dini. Kwa Kakobe mmenoa maana hahongeki, yule no mtumishi wa Mungu na sio kiongozi wa dini.
 
Am strictly muslim who knows and realy understands what Islam is....I stand with a man who stands righ,I stand with him when he is definitely right and absolutely stay apart with him when he goes wrong....sina utashi wala ushabiki wa chama chochote cha siasa ila katika hili namuunga mkono Bishop kakobe asilimia 100....big up kwako na Rev Mtikila....
 
Huyu jamaa kuna siku watz na dunia watamuelewa tu....
 
ni kweli hata physics na mathematics ni masomo mawili tofauti lakini huwezi kuwa mhandisi bila kuyasoma yote! use your head to think!
Duh. Aisee kuna watu wana majibu humu ndani. Yaani kitu juu ya kitu
 
Hao MaCCM walisha msahihisha Mwl Nyerere siku nyingi!! Wao walipo libomoa Azimio la Ars tayari walisha ondoa umuhimu wa maagizo yake!!!
Kwa hili la muungano hakuna mwenye uelewa kuliko Mhs Jdg Warioba, kumpuuza ni kuingiza taifa kwenye majanga!!
 

Lucifer......ndio nani, au askofu alikusudia Nyerere ndio Lucifer
 
Kakobe ni mtumishi wa bwana asiye mnafiki .chunguza vizur utagundua kuwa wale wanao jiita watumishi wa bwana wana jipendekeza kwa serikali au kwa viongozi waserikali.
 
Kakobe ni mtumishi wa bwana asiye mnafiki .chunguza vizur utagundua kuwa wale wanao jiita watumishi wa bwana wana jipendekeza kwa serikali au kwa viongozi waserikali.

hujipendekeza wapewe angalau ya juice mfano....ngoja kwanza ntarudi kumtaja.....

ila yule ukiwa unaenda bagamoyo kuna beach yule nywa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…