Mtangaika Sana ila Tanzania utadumu daima milele
Mtahangaika sana ila serikali ya Tanganyika lazima ipatikane!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtangaika Sana ila Tanzania utadumu daima milele
kakobe ameacha lini.kuwatapeli waumini wake?
waulize wachungaji wake waliomshtaki watakuambia utapeli wake.
Dini na siasa ni vitu viwili tafauti,ushauru wangu Askofu angalia neno la bwana acha siasa kwa wanasiasa
We ndio unatokwa na povu hapa kwa kusikiliza propaganda badala ya facts,
1)Hoja ya kutoa utabiri wa Mrema kuwa atakua rais ilishajadiliwa sana hapa sina haja ya kuirudia, do your homework
2)Kuhusu nyaya za umeme kupitisha umeme pale, kwa taarifa yako umeme haujawahi kupita pale, Waandisi toka UDSM waliposhindwa kutoa facts ni kwa nini kuna "VOLTAGE DROP" kwa umeme unapofika pale kwa Kakobe walishindwa kuja na majibu ya maana serikali yako tukufu ikaamua kuwaleta wajapani wafumue vile "VIKOMBE" na kuweka vipya, zoezi lilipokamilika walipopima wakauta kuna kitu wanaita "VOLTAGE SURGE" na wakashidwa kujua ni kwa nini kwa maana kila kitu kiko sawa, cha ajabu katapila lao likazima kabisa na kushindwa kufanya kazi wakaogopa wakakimbia na kuacha mitambo yao na waandishi wa habari wakapiga picha mpaka leo
Umeme haujawahi kupita pale na hautapita, mabingwa wa electronics toka JAPAN wameshindwa kujua chanzo na tangu walipoaga mpaka leo hawajarudi hata kuchukua vifaa vyao. Na JK mpaka leo hajawahi kuuzindua ule mradi ambao waliufungua kwa mbwembwe zote mbele ya kamera na umewagharimu billions 30
Ahsante mkuu. Nimeshakapakua kesho nalianzisha ofisi
Duh. Aisee kuna watu wana majibu humu ndani. Yaani kitu juu ya kituni kweli hata physics na mathematics ni masomo mawili tofauti lakini huwezi kuwa mhandisi bila kuyasoma yote! use your head to think!
Ehhh...ati??!!
Na huyu mtumishi wa MUNGU Kakobe ni hazina ya taifa tuliyopewa na MUNGU.
Kama mchungaji ana wajibu wa kuwapa maarifa ya kiMungu waumini wake. Na ameweza kuwaonesha leo kuwa mpango wa Mungu ni kurudi kwa Tanganyika. Naongeza maarifa zaidi kuwa Tanganyika ilitolewa kafara kwa Lucifer katika zindiko la nchi, sasa mfalme wa utukufu anakaribia kurudi ni lazima Lucifer aitapike Tanganyika apende asipende.
Lucifer......ndio nani, au askofu alikusudia Nyerere ndio Lucifer
Dini na siasa ni vitu viwili tafauti,ushauru wangu Askofu angalia neno la bwana acha siasa kwa wanasiasa
Kakobe ni mtumishi wa bwana asiye mnafiki .chunguza vizur utagundua kuwa wale wanao jiita watumishi wa bwana wana jipendekeza kwa serikali au kwa viongozi waserikali.