BISHOP KAKOBE::Tanganyika Huru Lazima Ipatikane

BISHOP KAKOBE::Tanganyika Huru Lazima Ipatikane

Baada ya kujadili rasimu ya katiba iliyoletwa na Warioba juu ya maoni ya wananchi... ccm wanaanza sarakasi za kujadili "katiba yao ya lumumba".
Awa mahayawan wanatakiwa wajue kuwa tunataka nchi yetu ya Tanganyika.....
 
Hawa maaskofu wa kutumia madawa ya kinigeria nao hawa hawana hata maana anajiandaa kugombea ubunge jimo la kawe kupitia chadema tunamsubiri tumuuliza mpaka yale mambo ya uchawi.
 
Je unaweza kudhitisha hili?Je alisha kutapeli?chunga mdomo wako yanaweza kukutokea mabaya kisha ukajuta.Wema wa MUNGU ndiyo unakupa pumzi.Kuna wengine wanasema Watu wa MUNGU wasijihuhusishe na siasa,nimekuwa nikisema mara nyingi huko nyuma kuwa mfano Bomba lako halitoi maji mwaka mzima lakin kila mwezi wanakuletea bill kana kwamba umetumia maji yao,ukianza kulalamika hiyo ni siasa.Katiak nchi yenye mfumo wa kifisadi Watu wa MNGU haya yanawapata kila siku.Gharama za maisha zikipanda nao wanagugumia-hiyo ni siasa.Biblia inamifano ming inayoonyesha WATU wa MUNGU mara zote walikuwa tofauti na Watawalana Wafalme.Mtu wa MUNGU akifanya urafiki na Watawala anakuwa ameiacha njia ya Haki,Serikali nying kama si zote ni za kukandamiza haki za wanyonge.
 
Hawa maaskofu wa kutumia madawa ya kinigeria nao hawa hawana hata maana anajiandaa kugombea ubunge jimo la kawe kupitia chadema tunamsubiri tumuuliza mpaka yale mambo ya uchawi.

Awe anatumia dawa za sumbawanga au tanga, but bottom line yeye ni mtetezi wa Tanganyika na anaonge yaliyo sahihi...
Tatizo kinachowasumbua ni unafiki tu. Mkiambiwa ukweli mna panic. ...
 
Hawa maaskofu wa kutumia madawa ya kinigeria nao hawa hawana hata maana anajiandaa kugombea ubunge jimo la kawe kupitia chadema tunamsubiri tumuuliza mpaka yale mambo ya uchawi.

pole sana sana Mungu akusamehe kwa kujua ulitendalo lakini kiburi tu...
 
Hawa maaskofu wa kutumia madawa ya kinigeria nao hawa hawana hata maana anajiandaa kugombea ubunge jimo la kawe kupitia chadema tunamsubiri tumuuliza mpaka yale mambo ya uchawi.

Askofu anatumia madawa ya kinaijeria, wewe raia wa kawaida unatumia hirizi za wapi??
 
Akazidi kufafanua kwamba, Mungu aliweka sheria za kulinda mipaka, siyo tu ya mashamba ya mtu binafsi, bali mipaka ya nchi, ili kuhakikisha haiondolewi, au kubadilishwa. "Usiiondoe alama ya mpaka wa jirani yako, WALIOUWEKA WATU WA KALE katika urithi wako, utakaorithi ndani ya nchi akupayo BWANA, Mungu wako, uimiliki." (KUMBUKUMBU 19:14). "Watu wa kale" wanaotajwa hapa, ni pamoja na hawa tunaowaita wakoloni. Siyo hilo tu, Mungu akasema kwamba atakayeondoa mpaka ATALAANIWA, "Na alaaniwe aondoaye mpaka wa jirani yake. Na watu wote waseme, Amina." (KUMBUKUMBU 27:17).
 
Ivi kakobe anawajua CCM vizuli?nampongeza kwa maneno yake kama yanatoka moyoni mwake na kama ndio anachokiamini,lkn nashauli awe makini na CCM kwa BUNDEZLIGA wanatisha NAPITA njia tu.
 
Last edited by a moderator:
Ivi kakobe anawajua CCM vizuli?nampongeza kwa maneno yake kama yanatoka moyoni mwake na kama ndio anachokiamini,lkn nashauli awe makini na CCM kwa BUNDEZLIGA wanatisha NAPITA njia tu.

Hivi unamjua Kakobe? HIYO MACHINE KUBWA
 
Last edited by a moderator:
Hawa maaskofu wa kutumia madawa ya kinigeria nao hawa hawana hata maana anajiandaa kugombea ubunge jimo la kawe kupitia chadema tunamsubiri tumuuliza mpaka yale mambo ya uchawi.

Jk kawaheshimu wachawi na kuwapa nafasi ya uwakilidhi bungeni
 
Nafikili Kakobe anaijua CCM kuliko mm lkn CCM inamjua KAKOBE kuliko yeye anavyoijua CCM.c kama naegemea upande wa ccm bali ndio ukweli ccm inafanya kile ambacho inataka.watakupatia kesi utashangaa imetokea wapi.be carefull
 
Asante sana baba Askofu Kakobe tunakushukuru kwa kutuelewesha kwa kutumia maandiko. Tanganyika yetu yunaipenda na tunaitaka. Mungu akuzidishie maisha marefu ili watu wamjue Yesu wajue na haki zao pia.
 
Back
Top Bottom