Biswalo atafaa kuwa Jaji Mkuu, alionesha uwezo mkubwa wa kushawishi kumalizwa kesi nje ya Mahakama

Kwa sasa kipaumbele cha Mahakama duniani kote ni kujitahidi kumaliza kesi kwa njia ya Usuluhishi badala ya Kuhukumu.

Akiwa Mkurugenzi wa Mashtaka Mh. Biswalo alionyesha uwezo mkubwa katika eneo Hili la ushawishi na nadhani ndio sababu alipandishwa cheo na kuwa Jaji wa Mahakama Kuu.

Wakati Jaji Mkuu Prof. Juma akielekea kustaafu Biswalo ni miongoni mwa Vijana wanaoweza kuvaa viatu vyake

Mungu wa mbinguni akubariki!
Wewe utakuwa chawa mpaka kizazi chako Cha 10 kizazi Cha machawa na makunguni
 
kiwa Mkurugenzi wa Mashtaka Mh. Biswalo alionyesha uwezo mkubwa katika eneo Hili la ushawishi na nadhani ndio sababu alipandishwa cheo na kuwa Jaji wa Mahakama Kuu.
Mleta mada;
1. kwenu mna asili ya uendawazimu AU
2. Mna laana flani mbaya ktk ukoo wenu! AU
3.Mna utapiamlo wa akili kwenu!
 
Kwa sasa kipaumbele cha Mahakama duniani kote ni kujitahidi kumaliza kesi kwa njia ya Usuluhishi badala ya Kuhukumu.

Akiwa Mkurugenzi wa Mashtaka Mh. Biswalo alionyesha uwezo mkubwa katika eneo Hili la ushawishi na nadhani ndio sababu alipandishwa cheo na kuwa Jaji wa Mahakama Kuu.

Wakati Jaji Mkuu Prof. Juma akielekea kustaafu Biswalo ni miongoni mwa Vijana wanaoweza kuvaa viatu vyake

Mungu wa mbinguni akubariki!
Anapostahili kuwa ni jela tu
 
Back
Top Bottom