Biswalo piga kazi wazalendo tupo nyuma yako

Biswalo piga kazi wazalendo tupo nyuma yako

Body language ya huyo baba anaemsikilza biswalo, sura alivoiweka na alivokunja ngumi ni kama anapewa taarifa ya mtu halafu anawaza "hiiii huyu naye nitamuuwa"
 
View attachment 2583436

Mh Judge Biswalo ni kiongozi muadilifu, mchapakazi, mtenda haki.

Aliopokuwa DPP aliifanya kazi yake kwa weledi mkubwa. Alihakikisha mafisadi wanaonja uchungu wa kuiba mali za watanzania bila kuonea mtu.

Sasa mafisadi na majizi yanatumia nafasi waliyopewa kulipiza kisasi kwa kumchafua na kumdhalilisha.

Biswalo kama mzalendo alikuwa anatimiza wajibu wake wa kisheria kwa kusimamia sheria iliyotungwa na bunge.
Ripoti ya CAG haijaonesha sehemu yoyote kuwa Biswalo kaiba pesa. Kilichotokea ni issues za procedures tu ila pesa inayozungumzwa kwa mujibu wa CAG ipo kwenye akaunti ya serikali kilichotokea ni kuweka akaunti tofauti na ilivyozoeleka.

Biswalo angekuwa ana makosa kama angeweka pesa kwenye akaunti yake binafsi au angetorosha.

Sisi wazalendo tunasema pamoja na kampeni chafu dhidi yako wananchi tuko pamoja na wewe na uendelee kufanya kazi uliyoaminiwa na Rais.
HATA MUSIBA MLISEMA HIVYO HIVYO LEO KABANA HAJA KUBWA wote mmemkimbia
 
Eti mzalendo

Nani kakuambia kuna mzalendo

Bongo

Ova
 
Wazalendo wa konyo
Wa hovyo kweli kimeandikwa kitabu tu hapo hata kusoma hawajasoma wanawajibu kina ngurumo kwa matusi. Tulieni nunueni kitabu musome mkiwa pembeni ya kaburi la juha
 
Jambazi la Jua kali na piper bila huruma yaani ilo jitu roho yake imeunguzwa na ana kovu tu!
Lakini roho hamna kitu walahi!
Mwenye Enzi Mungu ndio mtetezi wetu walahi[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Back
Top Bottom