Bitcon Itaua Watu

Bitcon Itaua Watu

leo thamani yake imeporomoka balaa....yaani jana rate yake kati ya tshs na bitcoin ilikuwa 1 bitcoin= 21 tshs milions na ushee hv ...ila leo thamani yake ni 1 bitcoin= tsh 15,990,501 ni anguko kubwa sana la bitcoin ikumbukwe kuwa mwezi kama mmoja uliopita thamani ya bitcoin ilifikia 1bitcoin = tshs 45 millions

My take: wenye bitcoins uzeni fasta hii crypto-currency inaenda kufa hata mshindani wake wa karibu ethereum naye ameporoka ingawa yeye hajaathirika sana kama bitcoin
Unashare rumors za kijinga.

Kwa kuwa huelewi kitu usiwapeleke watu kwenye hasara.

Mimi nasema investors wote wa Bitcoin na altcoins kwa ujumla
Just hold hold soon Btc baada ya mwezi mmoja itafika USD 20,000
 
a803f2ca755a1260340277c27b3e5d6a.jpg
itapanda tu sisi kama wataalam wa Forex hyo Pattern tunaita Dinosaur.
Hahaaa wenye mioyo migumu ndio wanatoboa maisha Jestkilla umenifurahisha sana nakupa complementary tuka-gestike kwa gharama yangu.

Utajiri ni kwa ajili ya risk takers.
 
We value imeshuka nusu ndiyo unawaambie wauze? Ushauri mbaya sana. Huu si muda wa kuuza kabisa utapokea loss tu. Bora usubiri istabilize
 
Trump ndiye ataizika hii kitu kwa sababu ya North Korea
 
Think you had a rough day in crypto..

Mark Zuckerberg lost $3.6 billion today.

Jeff Bezos lost $3.2 billion.

Google's founders lost $2.3 billion, each.

Bill Gates lost $2.2 billion.

(Source: Bloomberg)
+ ONTARIO lost $ 70000
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
We value imeshuka nusu ndiyo unawaambie wauze? Ushauri mbaya sana. Huu si muda wa kuuza kabisa utapokea loss tu. Bora usubiri istabilize
Mkuu kwani "Binti Coin" anaenfeleaje ?
Keshapanda thamani ?
 
Back
Top Bottom