Uzi wako upi mkuu,,,plz wa-bongo msijihusishe na hizi issue
Mengi nitayaongea kupitia uzi wangu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uzi wako upi mkuu,,,plz wa-bongo msijihusishe na hizi issue
Mengi nitayaongea kupitia uzi wangu
Unashare rumors za kijinga.leo thamani yake imeporomoka balaa....yaani jana rate yake kati ya tshs na bitcoin ilikuwa 1 bitcoin= 21 tshs milions na ushee hv ...ila leo thamani yake ni 1 bitcoin= tsh 15,990,501 ni anguko kubwa sana la bitcoin ikumbukwe kuwa mwezi kama mmoja uliopita thamani ya bitcoin ilifikia 1bitcoin = tshs 45 millions
My take: wenye bitcoins uzeni fasta hii crypto-currency inaenda kufa hata mshindani wake wa karibu ethereum naye ameporoka ingawa yeye hajaathirika sana kama bitcoin
watu wengine kujibizana nao ni unnecessary waste of my valuable calories, hopeless kabisa.
plz wa-bongo msijihusishe na hizi issue
Mengi nitayaongea kupitia uzi wangu
Naomba unipe darasa la Ku trade, plz pm naruhusiwa?Ku gestika hapana..labda tufundishane kusaka pesa.
Naomba unipe darasa la Ku trade, plz pm naruhusiwa?
watu wengine bhana ni hopeless kabisa...Kumbe unagundua sasa hiv kua we kichwa box kama Mapapai ya Ikungi
Anaweza akawa anarudi huyu mjusi mkubwa. Si itakuwa shida!?itapanda tu sisi kama wataalam wa Forex hyo Pattern tunaita Dinosaur.![]()
Anaweza akawa anarudi huyu mjusi mkubwa. Si itakuwa shida!?
watu wengine bhana ni hopeless kabisa...
Labda muipandishe kea kuibeba mgongoni hadi ghorofaniitapanda tu sisi kama wataalam wa Forex hyo Pattern tunaita Dinosaur.![]()
+ ONTARIO lost $ 70000Think you had a rough day in crypto..
Mark Zuckerberg lost $3.6 billion today.
Jeff Bezos lost $3.2 billion.
Google's founders lost $2.3 billion, each.
Bill Gates lost $2.2 billion.
(Source: Bloomberg)
Mkuu kwani "Binti Coin" anaenfeleaje ?We value imeshuka nusu ndiyo unawaambie wauze? Ushauri mbaya sana. Huu si muda wa kuuza kabisa utapokea loss tu. Bora usubiri istabilize