lazima kanisa limpigie debe ndilo alilolitumikia kwa muda wote aliokuwepo, kawacha "legacy" ipi kwa Watanzania kwa ujumla wao?Shida wewe unachuki binafsi na utawala wa Nyerere. Nilikuwa nakupa mifano tu ya baadhi ya maeneo. Sikusema naorodhesha viwanda elewa kiswahili.
Pole sana kwa kumpinga Nyerere mwenzako hana kiwango kama cha hao unaodhani wanawenza kupambana na legacy yake. Kunywa maji upumzike!
Rostam kafanyaje ?TATIZO NI ROSTAM AZIZI HUYU ASIPO ULIWA KAMWE HII NCHI HATUWEZI TOBOA...NILAZIMA TUTESEKE ....GENGE LA WAMILIKI WA GESI NDIYO WANAO KWAMISHA HII NCHI
Punda weweKama mie mbuzi weye nguruwe. Matusi tunayajua pia! Ibirisi tu!
Kwa hiyo Viongozi ndio wawe wanafikifia Kwa niaba ya hao Watendaji?Nakubaliana na wewe kuwa waache siasa. Tanesco ni 100% mali ya serekali, uzembe wa Tanesco serekali haiwezi kukwepa maana watendaji wote ni wateule wake. Kwa kifupi uzembe wa Tanesco una reflect mwenye mali yaani serekali ikoje.
Samahani sina mlengo wa ushabiki wa kidini. Mitanzania ya siku hizi imejawa udini na ukanda. Uwa siamini katika udini, ukanda wala ukabila.lazima kanisa limpigie debe ndilo alilolitumikia kwa muda wote aliokuwepo, kawacha "legacy" ipi kwa Watanzania kwa ujumla wao?
Fisi yang'au weye. Ukufunzwa adabu na wazazio tutakufunza. Maggot!Punda wewe
Acha porojo!Nadhani hujui lini Nyerere aliachia madaraka ya Urais. Shida vijana wa sasa mpo kiushabiki hamjui hata historia ya nchi. Mmebakiza uchawa tu. Ni sawa na Raois mmoja alikuwa anajaribu kufuta legacy ya Nyerere. Mtahangaika sana na roho yenu ya korosho.
Nakubaliana na wewe, ongeza na JK na MakambaTATIZO NI ROSTAM AZIZI HUYU ASIPO ULIWA KAMWE HII NCHI HATUWEZI TOBOA...NILAZIMA TUTESEKE ....GENGE LA WAMILIKI WA GESI NDIYO WANAO KWAMISHA HII NCHI
Wewe itakuwa ulikuwa unaishi vijijini ndani ndani huko na kwahiyo hujui hata hizo bidhaa ni bidhaa gani!Bidhaa gani?
Tulisema hatutaki tena viongozi wakali. Acha tubaki na viongozi walio soft soft maana Wa Tz hatutaki kuwajibishana tunaoneana aibu.Bado yuko very soft sana ni kama hata mwenyewe hajiamini
Kambi zake hizi huku angalia mwisho utamwona mtu mmoja hapo mtambue ni nani?Kambi zake za jeshi ziko wapi tukajiunge?
Makamba ni mwiziNa kuna mtu alikuwa anapewa bajeti ya matengenezo hadi wanazima Umeme ili wafanye matengenezo!
Mwizi ni mwizi tu.
Yule SA aliyekuwa aliyekuwa akipambana na ujangili tzKuna mzungu aliuliwa na bunduki zakina ROSAM AZIZI ....unakumbuka
Ndiyo huyoYule SA aliyekuwa aliyekuwa akipambana na ujangili tz
Stori stori….Biteko: 65% ya umeme tunatumia gesi, lakini kuna mashine miaka 2 haijatengenezwa. Nakuja TANESCO
Menejimenti ya TANESCO tunatakiwa tupate viongozi wanaojua tatizo la umeme.
Kama taifa tulitia aibu Sana,tz ilionekana ni nchi ya majangiliNdiyo huyo
Watu wa azizi walimmaliza huyo mzungu kisha wakasuka kesi uchwala ya kudanganya duniaKama taifa tulitia aibu Sana,tz ilionekana ni nchi ya majangili
Kikwete hajabuni gesi kama chanzo cha umeme.Matumizu ya umeme yamekuwa sana na hatuna vyanzo vipya vya kuzalisha umeme zaidi ya alivyobuni Kikwete vya Gas.
Umeme siyo kuzalisha tu, kuna kuusafirisha na kuusambaza. Ni mfumo kamili.
Huwezi kuongeza watumiaji mifumo mingine ikabaki vilevile.
Ndiyo maana duniani sasa hivi wanaondokana na mfumo wa kufuwa umeme mwingi sehemu moja na kuusambaza.
Nje huko imefikia kila jengo kujizalishia umeme na unaozidi ndiyo unakwenda kwenye gridi.