FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
lazima kanisa limpigie debe ndilo alilolitumikia kwa muda wote aliokuwepo, kawacha "legacy" ipi kwa Watanzania kwa ujumla wao?Shida wewe unachuki binafsi na utawala wa Nyerere. Nilikuwa nakupa mifano tu ya baadhi ya maeneo. Sikusema naorodhesha viwanda elewa kiswahili.
Pole sana kwa kumpinga Nyerere mwenzako hana kiwango kama cha hao unaodhani wanawenza kupambana na legacy yake. Kunywa maji upumzike!