Biteko: 65% ya umeme tunatumia gesi, lakini kuna mashine miaka 2 haijatengenezwa. Nakuja TANESCO

Biteko: 65% ya umeme tunatumia gesi, lakini kuna mashine miaka 2 haijatengenezwa. Nakuja TANESCO

Shida wewe unachuki binafsi na utawala wa Nyerere. Nilikuwa nakupa mifano tu ya baadhi ya maeneo. Sikusema naorodhesha viwanda elewa kiswahili.

Pole sana kwa kumpinga Nyerere mwenzako hana kiwango kama cha hao unaodhani wanawenza kupambana na legacy yake. Kunywa maji upumzike!
lazima kanisa limpigie debe ndilo alilolitumikia kwa muda wote aliokuwepo, kawacha "legacy" ipi kwa Watanzania kwa ujumla wao?
 
TATIZO NI ROSTAM AZIZI HUYU ASIPO ULIWA KAMWE HII NCHI HATUWEZI TOBOA...NILAZIMA TUTESEKE ....GENGE LA WAMILIKI WA GESI NDIYO WANAO KWAMISHA HII NCHI
Rostam kafanyaje ?
 
lazima kanisa limpigie debe ndilo alilolitumikia kwa muda wote aliokuwepo, kawacha "legacy" ipi kwa Watanzania kwa ujumla wao?
Samahani sina mlengo wa ushabiki wa kidini. Mitanzania ya siku hizi imejawa udini na ukanda. Uwa siamini katika udini, ukanda wala ukabila.
Ninaishi na dini zote, kanda zote, na makabila yote wote tunaelewana. Pole kwa udini wako.
 
Nadhani hujui lini Nyerere aliachia madaraka ya Urais. Shida vijana wa sasa mpo kiushabiki hamjui hata historia ya nchi. Mmebakiza uchawa tu. Ni sawa na Raois mmoja alikuwa anajaribu kufuta legacy ya Nyerere. Mtahangaika sana na roho yenu ya korosho.
Acha porojo!
 
Bado yuko very soft sana ni kama hata mwenyewe hajiamini
Tulisema hatutaki tena viongozi wakali. Acha tubaki na viongozi walio soft soft maana Wa Tz hatutaki kuwajibishana tunaoneana aibu.
 
Where are the Deep State?

Hii nchi ilishakufa Zamani sana
 
Matumizu ya umeme yamekuwa sana na hatuna vyanzo vipya vya kuzalisha umeme zaidi ya alivyobuni Kikwete vya Gas.

Umeme siyo kuzalisha tu, kuna kuusafirisha na kuusambaza. Ni mfumo kamili.

Huwezi kuongeza watumiaji mifumo mingine ikabaki vilevile.


Ndiyo maana duniani sasa hivi wanaondokana na mfumo wa kufuwa umeme mwingi sehemu moja na kuusambaza.

Nje huko imefikia kila jengo kujizalishia umeme na unaozidi ndiyo unakwenda kwenye gridi.
Kikwete hajabuni gesi kama chanzo cha umeme.
 
Back
Top Bottom