Watanzania ni wagumu sana kufuatilia data hata zile ambazo ziko wazi. Kuna Watanzania wengi wanaamini umeme wetu mwingi ni wa maji! hii sio kweli . Ukienda kwenye mtandao wa Tanesco umeme wa maji ni 36.64% tu. Hivyo hata maji yakipungua kwa 50% nzima umeme kwa ujumla wake unatakiwa kupungua...