FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Huwa sikisii - kumbuka hilo.Kikwete hajabuni gesi kama chanzo cha umeme.
Matumizi ya kuzalisha umeme kwa Gas yalianza wakwti wa Kikwete kwa kununuwa mitambo ya Smbion I, II, III na IV mpaka Obama alipokuja wakaitembelea na kuzindua "Power Africa" wakacheza na mpira, danadana, hapo Ubungo, labda ulikuwa shule ya msingi siku hizo huna habari za dunia. jionee: