Biteko: 65% ya umeme tunatumia gesi, lakini kuna mashine miaka 2 haijatengenezwa. Nakuja TANESCO

Biteko: 65% ya umeme tunatumia gesi, lakini kuna mashine miaka 2 haijatengenezwa. Nakuja TANESCO

Kikwete hajabuni gesi kama chanzo cha umeme.
Huwa sikisii - kumbuka hilo.

Matumizi ya kuzalisha umeme kwa Gas yalianza wakwti wa Kikwete kwa kununuwa mitambo ya Smbion I, II, III na IV mpaka Obama alipokuja wakaitembelea na kuzindua "Power Africa" wakacheza na mpira, danadana, hapo Ubungo, labda ulikuwa shule ya msingi siku hizo huna habari za dunia. jionee:

1700242404846.png


Screenshot_20231117_203251_Chrome.jpg
 
suala la umeme ni kubwa kuliko tunavyofikiri. suluhu yake inahitaji ujasiri wa maamuzi magumu km vile waondoe uhodhi wa kusambaza umeme, tupanue vyanzo vya umeme kupitia sekta binafsi,menejimenti ya shirika tuingie ubia na watu wenye ujuzi wa kuendesha makampuni ya nishati ys umeme Sera ya nishati na sheria iliyoanzisha TANESCO ipitiwe tena. vinginevyo ni complex issue inahitaji multiple solutions
 
Biteko: 65% ya umeme tunatumia gesi, lakini kuna mashine miaka 2 haijatengenezwa. Nakuja TANESCO

Menejimenti ya TANESCO tunatakiwa tupate viongozi wanaojua tatizo la umeme.


Nilishawaandikia hapa miaka 2 imepita ni kwamba tu wengi wa wadau ni slow sana

 
Back
Top Bottom