Biteko: 65% ya umeme tunatumia gesi, lakini kuna mashine miaka 2 haijatengenezwa. Nakuja TANESCO

Biteko: 65% ya umeme tunatumia gesi, lakini kuna mashine miaka 2 haijatengenezwa. Nakuja TANESCO

TATIZO NI ROSTAM AZIZI HUYU ASIPO ULIWA KAMWE HII NCHI HATUWEZI TOBOA...NILAZIMA TUTESEKE ....GENGE LA WAMILIKI WA GESI NDIYO WANAO KWAMISHA HII NCHI
Umeongea ukweli mkuu,huyu rostam aziz amekalia vibaya nchi yetu,huyu anafaa aliwe kichwa.
 
We njaa itakufanya umchukie kila mtu, eti unatamani rostam afe,akifa wewe ndio umaskini utakutoka bibie!!
Huyo akifa siyo mimi tu hata tsifa litapumua ila ishalaaaa kuna hawa watu watakufa kwa mapenzi ya mungu hivi karibuni Msoga ,makamba , kinana ,rostam kuna baadhi wataganja tu ndani hii miaka 4
 
Huyo akifa siyo mimi tu hata tsifa litapumua ila ishalaaaa kuna hawa watu watakufa kwa mapenzi ya mungu hivi karibuni Msoga ,makamba , kinana ,rostam kuna baadhi wataganja tu ndani hii miaka 4
Utakufa wewe unaepphilwa kutwa kucha
 
Attachments

  • Screenshot_20231110-122641.png
    Screenshot_20231110-122641.png
    67.7 KB · Views: 2
Tanesco hawatumii Taifa Gas, hiyo ni kwa ajili ya kusongea ugali wako.

Maana ulivyoandika unaonesha hata ubwabwa huujuwi.
Watu wengi ni mbumbumbu Hadi wewe Mzee inawwazidi kufikiria.

Taifa gas na naturala gas ya Kuzalisha umeme wapi na wapi?
 
Mimi hadi sasa siamini takwimu za kwamba 65% ya umeme chanzo chake ni gesi...

Hivi mbona kabla ya uwepo wa CNG, umeme ulikuwepo toshelevu, kama ni mgao ulikuwa unakuwepo wakati wa kiangazi tu...
Kwani ni Suala la kuaminika kama kwa Mwamposa au ni swala la uzalishaji ni terms of megawatt?

Acha ujinga
 
Taja viwanda ambavyo Nyerere alitaifisha. Watu kazi yenu kupindisha historia. Viwanda vyote vya nguo Tanzania vilijengwa wakati wa Nyerere. MUTEX kilikuwa kiwanda kikubwa Africa Mashariki.

Viwanda vya maziwa vilikuwa sehemu zote walikokuwa na ngómbe kwa wingi. Viwanda vya viatu iliitwa Bora. Kiwanda cha betri, Viwanda vya mafuta ya kula vilikuwa karibu mikoa mingi. Viwanda vya ngozi, Viwanda vya nyuzi, viwanda vya usindikaji, na kiwanda cha General cha matairi. Na vingi vinginevyo hivi vyo vilijengwa kwa fedha ya serikali.

Nyerere aliviacha vikiwa vinafanya kazi. Kwa taarifa yako wengine tumeonja matamu ya wakati huo ya Nyerere.
Nakumbuka ulikuwa unaenda Bora kununua viatu. Ukiingia unaletewa kifaa cha kuweka mguu kutambua size yako kisha unaletewa viatu vikiwa katika boksi yake. Yaani ilikuwa kama Ulaya ilivyo.

Kulikuwa na maduka ya serikali kila mkoa na wilaya RTC yaliuza bidhaa kwa bei nafuu. Nyerere aliacha yakifanya kazi. Yote yakauwawa na awamu zilizofuata. Ethiopia hayo maduka bado yapo. Ulaya kuna baadhi ya maduka bado yanamilikiwa na serikali hadi leo.

Wakati wa Nyerere tulisoma bure na kupewa madaftari na kalamu shuleni. Wanafunzi wa sekondari na vyuo walisafirishwa bure na serikali.

Kila mkoa katika miji kulikuwa na park, tuliita bustani. Yaani ilikuwa kama ilivyo Ulaya. Siku hizi mnajenga ovyo kila mahala hakuna hata park. Kulikuwa na hotel za kitalii kila mkoa zimejengwa na serikali. Hata club za serikali. Hizi Ethiopia bado wanazo. Nyerere aliziacha.

Wakati wa Nyerere kulikuwa na bank zinamilikiwa na serikali. Akaziacha. Mkabinafusisha na kuuza zote zingine mkauwa. Alipopiga kelele NBC isiuzwe duuh! Ndo ikawa niagieni. Nchi nyingi kubwa serikali ina bank hata hapa Afrika tu.

Kulikuwa na mabasi ya kila mkoa. Yalimilikiwa na serikali za mkoa. Yote mmeuwa. Niishie hapa ni mengi. Harafu unakuja hapa kuonesha Nyerere ati alitaifisha na kushindwa kuendeleza. Tusidanganyane.

Leo tu serikali inashindwa hata kuendeleza miradi ya mwendo kasi magari yanakufa. Yaani Tanzania ni shida tu.
Tanzania ya Nyerere ilikuwa na utamu wake kwa wale waliokuwepo wakati huo tulienjoy. Hakukuwepo na ufisadi uliokithiri kama leo.
Ndio hadi anasepa vilikufa na alifeli mbaya kwenye uchumi.

Yeye alikiri Sasa wewe unamlosha maneno ya nini?

Kumtolea mfano Nyerere kwenye uchumi ni ujinga wa Haki ya Juu,sawa tuu na Mwendazake alivyokuwa anatutumbukiza shimoni.
 
TUMIA AKILI WANACHOFANYA NI HIKI ...UMEMSIKIA WAZIRI ANASEMA ZAIDI YA ASILIMIA 65 YA UMEME WETU NI WA GESI HAPO SIYO KWELI NA NDIYO NJIA WANAYO TUMIA KULIPANA MABILION NA KUFISIDI NCHI ....WANACHO FANYA NI KUDSNGAYA KIWANGO CHA UMEME TUNACHO PATA KWA GESI ...umeme wa gesi tz unazalisha umeme chini ya asilimia 34% kwa hiyo hiyo asilimia 30% pesa wana tia mifukoni wakilipa makampuni ya gesi pesa hiyo na kugawana kwacmlango wa nyuma
Na ndiyo maana wanakwamisha bwawa la umeme maana serikali ingejitegemea kwa asilimia 100% hivyo dili zao za kudanganya kuwa tumeuziwa gesi ya mabilioni ingekufa
Umeandika Takataka,ukimbiwa thibitisha Kwa hesabu huna majibu
 
Weeeeeeeee sasa Yale mabilioni ambayo kipara ngwidu alikua anapewa na mama yake kwa ajili ya matengenezo yalikua yanakwenda wapi 🤔🤔 walikua wanazima umeme kabisa kizingishio wanafanya matengenezo kumbe walikwapua tena 🤔🤔 lakini cha ajabu hakuna atakae wajibishwa kwa hili
Hata January hakufikia malengo,kukatika Kwa umeme hamuwezi kuisha Kwa sababu Bado Kuna miundombinu imechoka Nchi nzima.

Tutakuwa na umeme wa kutosha lakini katika katika itakuwa pale pale maana Kila sehemu kunahitajika repair.

Kama mumekaa hapa mnadhani baada ya bwawa ndio katika katika ya umeme itaisha sahauni.

Happy utakuwa umetibu shida moja ya output ila distribution na maintenance itakuwa Bado sana
 
Sawa muheshimiwa sasa je kosa ni la nani la kusababisha Mashine isitengenezwa kwa Miaka 2 ?
Tanesco mikoani ndiyo wamejisahau kabisa umeme unakatika zaidi ya masaa 12 kwa tatizo ambalo Kama wapo serious haiwezi kuchukua masaa mengi kihivyo .
Tanesco muwe na mazoea ya kufanya kazi usiku sio tatizo likitokea usiku unaambiwa wafanyakazi wamelala , musifanye kazi kimazoea.
Mdugu mwananchi tunaomba namba yako na mahali ulipo kwa utatuz zaid
 
Sawa muheshimiwa sasa je kosa ni la nani la kusababisha Mashine isitengenezwa kwa Miaka 2 ?
Tanesco mikoani ndiyo wamejisahau kabisa umeme unakatika zaidi ya masaa 12 kwa tatizo ambalo Kama wapo serious haiwezi kuchukua masaa mengi kihivyo .
Tanesco muwe na mazoea ya kufanya kazi usiku sio tatizo likitokea usiku unaambiwa wafanyakazi wamelala , musifanye kazi kimazoea.
Mkoani kwangu Tanesco wanakuja mda wowote hiyo ya Mkoa wako ambako wanalala ni wapi maana Wana kitengo Cha dharula masaa 24 kama watu wa hospital au zimamoto.
 
Watu wengi ni mbumbumbu Hadi wewe Mzee inawwazidi kufikiria.

Taifa gas na naturala gas ya Kuzalisha umeme wapi na wapi?
Huko kote huyo jamaa ana HISA niulize mimi hiyo taifa ni yake ila kwenye vitarlu vya gesi Rostam azizi ana umiliki mkubwa
 
Huko kote huyo jamaa ana HISA niulize mimi hiyo taifa ni yake ila kwenye vitarlu vya gesi Rostam azizi ana umiliki mkubwa
Kwani Rostam Kumiliki vitalu vya gas ndio inahusianaje na kukatika Kwa umeme Tanesco au kutokarabati kitambo?

Nchi hii Ina gas kuanzia Lindi,Mtwara na Ruvu na ndio maana Serikali inataka iuze Nchi jirani.

Yaani Rostam na Tanesco wapi na wapi?
 
Uliwai kumsikia RAIS Samia alipo sema kuna watu walikuwa wana kwamisha kwa nguvu zote bwawa la nyerere kwenye uongozi wake? Sasa niambia kwanini rais hakuwataja hao watu na je angewataja unadhani wangekuwa wakina nani tumia akili acha kutumia kijambio kufikiri kima wewe
 
Pia hoja yako ni taifa gesi nikakuambia vitalu pia anamiliki na ndiyo gesi inayotumika kuzalisha umeme
 
Uliwai kumsikia RAIS Samia alipo sema kuna watu walikuwa wana kwamisha kwa nguvu zote bwawa la nyerere kwenye uongozi wake? Sasa niambia kwanini rais hakuwataja hao watu na je angewataja unadhani wangekuwa wakina nani tumia akili acha kutumia kijambio kufikiri kima wewe
Binafsi sijawahi sikia Rais Samia anasema Kuna watu wanakwamiaha bwawa ila nakisikia wewe sana sana nilimsikia awamu ya 5 kwamba watu wanapinga ujenzi wa bwawa.

Uliwahi msikia Mwendazake alisema Rostam anakwamisha bwawa? Mbona ndio kwnza alimualika Ikulu na kuzindua brand ya Taifa gas?
 
Back
Top Bottom