Lwiva
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 15,416
- 22,334
TUMIA AKILI WANACHOFANYA NI HIKI ...UMEMSIKIA WAZIRI ANASEMA ZAIDI YA ASILIMIA 65 YA UMEME WETU NI WA GESI HAPO SIYO KWELI NA NDIYO NJIA WANAYO TUMIA KULIPANA MABILION NA KUFISIDI NCHI ....WANACHO FANYA NI KUDSNGAYA KIWANGO CHA UMEME TUNACHO PATA KWA GESI ...umeme wa gesi tz unazalisha umeme chini ya asilimia 34% kwa hiyo hiyo asilimia 30% pesa wana tia mifukoni wakilipa makampuni ya gesi pesa hiyo na kugawana kwacmlango wa nyumaAnakwamishaje mkuu
Na ndiyo maana wanakwamisha bwawa la umeme maana serikali ingejitegemea kwa asilimia 100% hivyo dili zao za kudanganya kuwa tumeuziwa gesi ya mabilioni ingekufa