Biteko: 65% ya umeme tunatumia gesi, lakini kuna mashine miaka 2 haijatengenezwa. Nakuja TANESCO

Biteko: 65% ya umeme tunatumia gesi, lakini kuna mashine miaka 2 haijatengenezwa. Nakuja TANESCO

Sikushangai, nafahamu mlivyo watoto wa kulelewa na mama pekee ambao kila mwanamme anaeingia kwenu unaambiwa "mwamkie baba'ko".
Kumbe unajua kuwa wanawake wakiwa viongozi awana akili[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] watu tunataka waisiharamu wote mliousika na kifo cha shujaa .. mtukufu magufuli mchapwe risasi hadharani akiwemo na huyo raia feki jambazi rostam
 
Mimi hadi sasa siamini takwimu za kwamba 65% ya umeme chanzo chake ni gesi...

Hivi mbona kabla ya uwepo wa CNG, umeme ulikuwepo toshelevu, kama ni mgao ulikuwa unakuwepo wakati wa kiangazi tu...
 
Hizi ni ngonjera tu, unaweza kufanya, fanya tuone matokeo yake, sio huku kubwabwaja kusikokuwa na kichwa wala miguu, utashangaa mpaka anahamishwa wizara hakuna chochote kitakachokuwa kimefanyika.
 
Kwa hiyo vitalu walivyo navyo ndiyo vimewapa ruksa kumiliki bunduki haramu na nyara za serikali .....tuambie na zile pesa za rumbesa za singasinga nazo ni kitaru [emoji117][emoji205][emoji205][emoji205]
Hao wote unaowataja ni wajanja zaidi yako na baba'ko, ambae nnauhakika humfahamu.

Pole sana kama nyumbani kwenu hakuna mali wala elimu, ni wazazi wako walishindwa kuzitumia fursa. Nawe wameshakulemaza kwa kuchukia wote waliokuzidi kipato na elimu.

Badilika, fursa bado zipo nyingi sana.
 
Baba yangu alikuwa mzalendo haswa tea najulikana kwenye vitabu yupo sema mama yangu ndiyo alikuwa zuzu kama mashungi
 
Hizi ni ngonjera tu, unaweza kufanya, fanya tuone matokeo yake, sio huku kubwabwaja kusikokuwa na kichwa wala miguu, utashangaa mpaka anahamishwa wizara hakuna chochote kitakachokuwa kimefanyika.
 
Hao wote unaowataja ni wajanja zaidi yako na baba'ko, ambae nnauhakika humfahamu.

Pole sana kama nyumbani kwenu hakuna mali wala elimu, ni wazazi wako walishindwa kuzitumia fursa. Nawe wameshakulemaza kwa kuchukia wote waliokuzidi kipato na elimu.

Badilika, fursa bado zipo nyingi sana.
Ujanja gani wewe kafiri wa kiisiharamu yani ufisadi na ufirauni wao ndiyo ujanja
Kama yule muuza mikate mzenji anavyo waingilia wanaume wenzake kinyume na maumbile kisha anajidai kuwa pombe ni haramu kule zenji kwenye hotel zake kazuia pombe wakati yeye ni basha mkubwa sana
 
Mimi hadi sasa siamini takwimu za kwamba 65% ya umeme chanzo chake ni gesi...

Hivi mbona kabla ya uwepo wa CNG, umeme ulikuwepo toshelevu, kama ni mgao ulikuwa unakuwepo wakati wa kiangazi tu...
Matumizu ya umeme yamekuwa sana na hatuna vyanzo vipya vya kuzalisha umeme zaidi ya alivyobuni Kikwete vya Gas.

Umeme siyo kuzalisha tu, kuna kuusafirisha na kuusambaza. Ni mfumo kamili.

Huwezi kuongeza watumiaji mifumo mingine ikabaki vilevile.

Ndiyo maana duniani sasa hivi wanaondokana na mfumo wa kufuwa umeme mwingi sehemu moja na kuusambaza.

Nje huko imefikia kila jengo kujizalishia umeme na unaozidi ndiyo unakwenda kwenye gridi.
 
Ujanja gani wewe kafiri wa kiisiharamu yani ufisadi na ufirauni wao ndiyo ujanja
Kama yule muuza mikate mzenji anavyo waingilia wanaume wenzake kinyume na maumbile kisha anajidai kuwa pombe ni haramu kule zenji kwenye hotel zake kazuia pombe wakati yeye ni basha mkubwa sana
Hunishangazi kwa lugha hizo, nafahamu nyumba uliulyolelewa ndiyo hivyo tena.
 
Mimi nilikuwepo nyerere alipewa nchi mbovu na wakoloni ....wewe pichu chafu unaongea kana kwamba nyerere alipewa nchi yenye maendeleo...swala la kuvaa nguo zilizo chanika lilikuwa tokea wakoloni ...tofauti na huyu zuzu wenu aliachiwa nchi umeme umetengemaa ...kakuna kipindupindu ...elimu bure ...bando za Internet zilikuwa chini ....kapewa nchi iliyo ingia uchumi wa kati ila kwa sasa hata pesa za kigeni hakuna hadi anamrudiza miarabu mpumbavu kuja kututawala manyani[emoji205][emoji205][emoji205][emoji205][emoji205] ....kwa hiyo nakuambia wewe nyani rukaruka kwa furaha maana mkoloni muarabu karudi nchini.
Hapa umenadi upunguwani wako tu,ngoja nikuache
 
Mbona unarukaruka Kama bisi!!!?..ulisema rostam ndiye kikwazo Cha sisi kuendelea Kama taifa,ndiyo nikakwambia Nyerere katawala robo Karne huku rostam akiwa si lolote igunga,mbona hatukuendelea!?..mengi hakuwa na mtaji wa biashara ya gesi,alitaka kuleta udalali wake tu..na rostam alimchana,rejea press yake,hata mhongo alisema wazawa wana mitaji ya juisi tu....
Kwani yeye ana mtaji?yeye mwenyewe Dalali wa Matajiri wa Marekani na pia ni Agent wa CIA East and Central Africa!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Nitajie nyerere kaondoka madarakani nchi ilikuwa na viwanda vingapi je ngege tulikuwanazo ngapi ...dawayenu mafisadi ni kupigwa chuma ya tigo tu
Wakati Nyerere anaondoka mwaka 1985 ulikuwa wapi na ulikuwa na umri gani?
Kwa tàarifa yako Nyerere aliondoka kwa kuwa nchi ilifirisika.
Ilifirisika mikononi mwake kutokana na sera zake.
Viwanda vilikuwa magofu, havikuwa na uwezo wa kuzalisha Mali, maana ni kama vilikufa.
Havikuwa na uwezo wa kununua maligafi, havikuwa na uwezo kufanya ukarabati wa majengo na mitambo. Viwanda na bàdhi ya mashirika ya uma kama RTC, BHESCO, AISCO, DARTEX, HOSCO, RETCo nk, havikuwa na uwezo hata wa kulipa mishahara wafanyakazi wake.
Suluhu ilikuwa kuviuza, wafanyabiashara wazalishe ili serikali ikusanye kodi.
Haya yalikuwa ni moja ya mashariti ya Benki ya Dunia na shirika la fedha ulimwenguni.
Ungekuwepo wakati huo usingeropoka upuuzi huu.
 
Miaka miwili ya uongozi wa january kama waziri na maharage Mkurugenzi Tanesco 😄😄😄 nchi ina vituko hii sijapata ona
 
KIPARA keshatolewa na beans 🫘 sasa anatafutwa mwingine wa kumuangushia jumba bovu japo naamini suluhu bado hapo Tanesco
Jamaa wanaonekana walikuwa wanapinga porojo tu hakuna maintanance iliyokuwa inafanyikia na walituhakikishia 2025 matatizo ya umeme yataisha wakijua kabisa by that time hawatokuwepo hapo

Mungu ainusuru nchi hii
 
Marais waisiharamu wamejenga viwanda vingapi kwa ujumla wao vau kitu gani cha maana wamefanya nitsjie hata kimoja tu
Kumbe shida yako ni dini ya rais aliye madarakani.
Unuruka ruka viwanda, umeme nk kumbe udini tu ndiyo unaokutesa.
Waislam wapo, wataendelea kuwepo na watatawala kama kawaida.
Wewe utaorodhesha yote, lakini watatawala.
Kama Nyerere alimuachia nchi Muislam, wewe ni nani?
 
Apunguze kelele. Tumechoka na matamko yasiyo na maana.
 
Nilikuwepo, viwanda vingi nyerere slivikuta vya watu binafsi akavitaifisha.

Alivyojenga yeye wakati wake wote havifiki 30.

Vyote vilikufa, vyake na alivyotaifisha, kabla hajaondoka madarakani.

Msidanganyane bado tupo hai.
huna uzeee huo usitupange dada
 
Back
Top Bottom