ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Swali Rostam Kumiliki vitalu vya gas inazuia nini Tanesco kupata umeme? Wapi Tanesco waliowahi kusema shida ni upatikanaji mdogo wa gas?Pia hoja yako ni taifa gesi nikakuambia vitalu pia anamiliki na ndiyo gesi inayotumika kuzalisha umeme
Unajisemea bila kuelewa ulichosema, vimefika vingapi hivyo viwanda vya nyerere?Taja viwanda ambavyo Nyerere alitaifisha. Watu kazi yenu kupindisha historia. Viwanda vyote vya nguo Tanzania vilijengwa wakati wa Nyerere. MUTEX kilikuwa kiwanda kikubwa Africa Mashariki.
Viwanda vya maziwa vilikuwa sehemu zote walikokuwa na ngómbe kwa wingi. Viwanda vya viatu iliitwa Bora. Kiwanda cha betri, Viwanda vya mafuta ya kula vilikuwa karibu mikoa mingi. Viwanda vya ngozi, Viwanda vya nyuzi, viwanda vya usindikaji, na kiwanda cha General cha matairi. Na vingi vinginevyo hivi vyo vilijengwa kwa fedha ya serikali.
Nyerere aliviacha vikiwa vinafanya kazi. Kwa taarifa yako wengine tumeonja matamu ya wakati huo ya Nyerere.
Nakumbuka ulikuwa unaenda Bora kununua viatu. Ukiingia unaletewa kifaa cha kuweka mguu kutambua size yako kisha unaletewa viatu vikiwa katika boksi yake. Yaani ilikuwa kama Ulaya ilivyo.
Kulikuwa na maduka ya serikali kila mkoa na wilaya RTC yaliuza bidhaa kwa bei nafuu. Nyerere aliacha yakifanya kazi. Yote yakauwawa na awamu zilizofuata. Ethiopia hayo maduka bado yapo. Ulaya kuna baadhi ya maduka bado yanamilikiwa na serikali hadi leo.
Wakati wa Nyerere tulisoma bure na kupewa madaftari na kalamu shuleni. Wanafunzi wa sekondari na vyuo walisafirishwa bure na serikali.
Kila mkoa katika miji kulikuwa na park, tuliita bustani. Yaani ilikuwa kama ilivyo Ulaya. Siku hizi mnajenga ovyo kila mahala hakuna hata park. Kulikuwa na hotel za kitalii kila mkoa zimejengwa na serikali. Hata club za serikali. Hizi Ethiopia bado wanazo. Nyerere aliziacha.
Wakati wa Nyerere kulikuwa na bank zinamilikiwa na serikali. Akaziacha. Mkabinafusisha na kuuza zote zingine mkauwa. Alipopiga kelele NBC isiuzwe duuh! Ndo ikawa niagieni. Nchi nyingi kubwa serikali ina bank hata hapa Afrika tu.
Kulikuwa na mabasi ya kila mkoa. Yalimilikiwa na serikali za mkoa. Yote mmeuwa. Niishie hapa ni mengi. Harafu unakuja hapa kuonesha Nyerere ati alitaifisha na kushindwa kuendeleza. Tusidanganyane.
Leo tu serikali inashindwa hata kuendeleza miradi ya mwendo kasi magari yanakufa. Yaani Tanzania ni shida tu.
Tanzania ya Nyerere ilikuwa na utamu wake kwa wale waliokuwepo wakati huo tulienjoy. Hakukuwepo na ufisadi uliokithiri kama leo.
Unauhakika unacho kinena?Wakati Nyerere anaondoka mwaka 1985 ulikuwa wapi na ulikuwa na umri gani?
Kwa tàarifa yako Nyerere aliondoka kwa kuwa nchi ilifirisika.
Ilifirisika mikononi mwake kutokana na sera zake.
Viwanda vilikuwa magofu, havikuwa na uwezo wa kuzalisha Mali, maana ni kama vilikufa.
Havikuwa na uwezo wa kununua maligafi, havikuwa na uwezo kufanya ukarabati wa majengo na mitambo. Viwanda na bàdhi ya mashirika ya uma kama RTC, BHESCO, AISCO, DARTEX, HOSCO, RETCo nk, havikuwa na uwezo hata wa kulipa mishahara wafanyakazi wake.
Suluhu ilikuwa kuviuza, wafanyabiashara wazalishe ili serikali ikusanye kodi.
Haya yalikuwa ni moja ya mashariti ya Benki ya Dunia na shirika la fedha ulimwenguni.
Ungekuwepo wakati huo usingeropoka upuuzi huu.
Tafuta hotuba yake alisema hadharani hiyo kauli ni kwenye zile hotuba alizo toa na alipo taja jina la jpm watu walishangilia wengine walichukia sikumbuki vizuri ila nakumbuka kama alikuwa kwenye bwawa la umeme. Wakati wa jpm rostam alikuwa ni tumbili tu mbele ya magufuli kuweza kudhubutu kukwamisha bwawa wazi wazi alikuwa anatumia jumuiya za kimataifa kudai ni uchafuzi ma mazingira nyuma yake alikuwa huyo jambazi azizi hata samia anajua vizuri ila kaamua kuwa upande wa wahuniBinafsi sijawahi sikia Rais Samia anasema Kuna watu wanakwamiaha bwawa ila nakisikia wewe sana sana nilimsikia awamu ya 5 kwamba watu wanapinga ujenzi wa bwawa.
Uliwahi msikia Mwendazake alisema Rostam anakwamisha bwawa? Mbona ndio kwnza alimualika Ikulu na kuzindua brand ya Taifa gas?
Tatizo siyo Roast Aziza,tatizo ni wenye mamlaka.Hata wazungu kipindi hicho wao pia walikuwa awana smartphone nk hivyo tumia akili ...sisi tunazungumzia waujumu uchumi nyerere kapewa nchi mbovu na mkoloni ....kutoka dar hadi morogoro ni sawa sawa na kutoka dar hadi Kinshasa...watu walikuwa hawana elimu yoyote ...zaidi ya asilimia 80 walikuwa awajui shule ni nini baadhi tu walifika darasa la 4
KUHUSU HUYO JAMBAZI AZIZI HATA BWANA R. MENGI ALIWAHI KULALAMIKA KWA KUZUIWA KWENYE SECTA YA GESI ALIYEFANYA HIVYO NI ROSTAM NA GENGE LAKE LENGO NI KUAKIKISHA HIYO SECTA YA GESI KUSIWE NA MZAWA MWENYE NGOZI NYEUSI YOYOTE ILI WAWEZE KUTUNYONYA MANYANI
Bidhaa gani?Uongo mwingine wa kitoto sana! Yaani viwanda vilikuwa vikifanya kazi wakati hata bidhaa nchini ilikuwa hamna?!
Ukiniambia kuwa Roast ndiye mchora ramani huku K Lyin akaisoma vyema mpaka kufanikisha anguko la Mengi hapo nitakubariana na wewe,ila hili la gas tatizo kubwa ni wenye mamlaka kukubali kuwekwa mfukoni na Roast.Hata wazungu kipindi hicho wao pia walikuwa awana smartphone nk hivyo tumia akili ...sisi tunazungumzia waujumu uchumi nyerere kapewa nchi mbovu na mkoloni ....kutoka dar hadi morogoro ni sawa sawa na kutoka dar hadi Kinshasa...watu walikuwa hawana elimu yoyote ...zaidi ya asilimia 80 walikuwa awajui shule ni nini baadhi tu walifika darasa la 4
KUHUSU HUYO JAMBAZI AZIZI HATA BWANA R. MENGI ALIWAHI KULALAMIKA KWA KUZUIWA KWENYE SECTA YA GESI ALIYEFANYA HIVYO NI ROSTAM NA GENGE LAKE LENGO NI KUAKIKISHA HIYO SECTA YA GESI KUSIWE NA MZAWA MWENYE NGOZI NYEUSI YOYOTE ILI WAWEZE KUTUNYONYA MANYANI
Nyerere aliacha dola moja ni tshs tano, leo ni tshs 2500, bado kuna jinga linamlaumu nyerere hata wakati wa nyerere lilikuwa halijazaliwaNyerere kaondoka kaacha pesa yetu ikiwa na thamani kubwa yule mpumbavu aliye kuja akaua thamani hadi pesa yetu imekuwa pesa ya madafu
Yaani ni balaa tupu. Wamefeli hadi aibu.Nadhani hela za matengenezo ya machines ilielekezwa kwenye ununuzi wa software ya mamilioni.
Halafu wanatamba ni wajanja nanyi ni washamba!!!
Umjui huyo Rostam azizi kapandikiza watu wake kwenye mamlaka kiasi gani kuanzia kwenye siasa anao wabunge wake kabisa na pesa anawapa ....kumbuka kipindi cha JPM mange kimambi alikuwa anamtukana sana jpm ndipo Rostam azizi kwa kujipendekeza alimwambia Rais Jpm kuwa kuanzia leo mange kimabi hato kutukana tena na kweli mange alinyamaza kimya...huyo jamaa ni jambazi haswa anatumia fedha kufanikisha ufisadi mkubwa sana ....sijui kama unajua kitu kinacho itwa (state capture)Tatizo siyo Roast Aziza,tatizo ni wenye mamlaka.
Acha blaa blaa zisizo na msingi washa umemeTafuta hotuba yake alisema hadharani hiyo kauli ni kwenye zile hotuba alizo toa na alipo taja jina la jpm watu walishangilia wengine walichukia sikumbuki vizuri ila nakumbuka kama alikuwa kwenye bwawa la umeme. Wakati wa jpm rostam alikuwa ni tumbili tu mbele ya magufuli kuweza kudhubutu kukwamisha bwawa wazi wazi alikuwa anatumia jumuiya za kimataifa kudai ni uchafuzi ma mazingira nyuma yake alikuwa huyo jambazi azizi hata samia anajua vizuri ila kaamua kuwa upande wa wahuni
Wakati ule pesa yetu ilikuwa na nguvu kama kenya au zaidi ... tena nyerere alitengwa na mabeberu kutokana na kumpiga vita kaburu wa mozambiki na south africa pia alipigwa vita na mabeberu kutokana na siasa za kijamaa...licha ya hayo yote aliweza kufanya pesa iwe na dhamani licha ya kutokuwa na biashara ya utalii wala gesiNyerere aliacha dola moja ni tshs tano, leo ni tshs 2500, bado kuna jinga linamlaumu nyerere hata wakati wa nyerere lilikuwa halijazaliwa
TAFUTA HOTUBA YA SAMIA ALIPO FUNGUA UJAZAJI MAJI BWAWA LA NYERERE ALIPO SEMA WAZI KUWA AMEKUTANA NA MISUKOSUKO YA WANAOPINGA KUJENGWA KWA BWAWA ...SASA TUAMBIA NI KINA NANI MBONA HAKUWATAJAAcha blaa blaa zisizo na msingi washa umeme
Utoto Raha sanaWewe huyo jamaa umjui ...kumbuka .mdogo wake alikuwa anamiliki hadi jeshi nchini
Kuna mzungu aliuliwa na bunduki zakina ROSAM AZIZI ....unakumbukaUtoto Raha sana
Magufuli aliwahi wataja Mabeberu wanaomiliki Gesi Aliposema sio Gesi yetu imekuwa?TAFUTA HOTUBA YA SAMIA ALIPO FUNGUA UJAZAJI MAJI BWAWA LA NYERERE ALIPO SEMA WAZI KUWA AMEKUTANA NA MISUKOSUKO YA WANAOPINGA KUJENGWA KWA BWAWA ...SASA TUAMBIA NI KINA NANI MBONA HAKUWATAJA
Kwani huyo ROSTAM AZIZI NI MTANZANIA HUYO NI BEBERU TUMIA AKILI ..ZUNGU PIA NI BEBERU NI RAIA FEKI WAPO KUFISIDI NCHIMagufuli aliwahi wataja Mabeberu wanaomiliki Gesi Aliposema sio Gesi yetu imekuwa?
Unajua jeshi ni nini?Kuna mzungu aliuliwa na bunduki zakina ROSAM AZIZI ....unakumbuka