Biteko: Changamoto ya umeme yafika kikomo

Biteko: Changamoto ya umeme yafika kikomo

Suley2019

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2019
Posts
2,203
Reaction score
5,610
Tupate chai kutoka serikalini

images.jpeg
 
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko, amesema kuwa changamoto ya Umeme ipo mwishoni kwani kuanzia Februari 22, mgao haujatokea kwa mkoa wa Dar es Salaam...
Hivi mgao ni dare es salaam pekee Ina maana sisi.wa mkoani huu mgao hawhesabu kama mgao!!?

Jana usiku Tabora haikua nanumeme usiku kucha hasa igunga na uyui!!
 
Bei za Units zimeshuka ?

Sababu hio ndio ilikuwa dhima ya mradi wa Nyerere haya ya Mgao wala hayakuwepo kwenye Menu...
 
Kiukweli mtaan kwetu wiki ya pili sasa hawajakata, wasiishie Dar tu!
 
Huyu Biteko kwa elimu yake ndogo ya ualimu wa primary, aliyo nayo andnganywa kirahisi mno. Na ndiyo maana anatoa matamko asiyoyafanyia tathmini .
 
Back
Top Bottom