Biteko: Changamoto ya umeme yafika kikomo

Biteko: Changamoto ya umeme yafika kikomo

Nipo moshi sasa siku kadhaa hakuna mgao ,aliyebuni mradi wa jnhpp azidi kubarikiwa .
 
Aisee mimi mpaka mda huu naandika ni giza totoro
 

Attachments

  • images.jpg
    images.jpg
    9.2 KB · Views: 1
Watu wengine bana? Wanatufanya sisi wa TZ mafalaa sana ee, kukaa kimya nayo huwa ni bisara.
 
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko, amesema kuwa changamoto ya Umeme ipo mwishoni kwani kuanzia Februari 22, mgao haujatokea kwa mkoa wa Dar es Salaam kwani Serikali ipo kwenye hatua za mwisho kukamilisha mradi wa Umeme wa Bwawa la Mwalimu Nyerere.


PIA SOMA
- Dkt. Biteko: Nataka niwahakikishie tutawapa umeme Watanzania

- Biteko: Shida ya umeme sasa basi, megawati 235 zimeingia Grid ya Taifa
All this is rubbish, time will tell!
 
Back
Top Bottom