Hivi mgao ni dare es salaam pekee Ina maana sisi.wa mkoani huu mgao hawhesabu kama mgao!!?Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko, amesema kuwa changamoto ya Umeme ipo mwishoni kwani kuanzia Februari 22, mgao haujatokea kwa mkoa wa Dar es Salaam...
π€£π€£π€£ Chai ya mufindi,tatepa au chaijaba??
Usengerema huu kutoka serikaliniπ€£π€£π€£ Chai ya mufindi,tatepa au chaijaba??
Upo mkoani?Nilipo hakuna umeme.
Kijiji cha Kumshindwi-Kigoma.Upo mkoani?
nimecheka mno ππππππππππππππππππππππππππππππππππππ
Tungekuwa west African ungekuta raia tumeshapindua nchi mana hawa viongozi wanatuona sisi wananchi ni nyaninimecheka mno ππππππππππππππππππππππππππππππππππππ
Yani wabongo ni hewala hewaa tu, hali ya nchi ilipofikia isingekuwa rahisi kwa serikali hii kuendelea kuwepo madarakani kwenye taifa linalojielewa kama Ulaya ama USA.Tungekuwa west African ungekuta raia tumeshapindua nchi mana hawa viongozi wanatuona sisi wananchi ni nyani
Ndo mana Trump alisema tutawaliwe upya mana hatujielewi tukiongozwa na viongozi wa nchi.Yani wabongo ni hewala hewaa tu, hali ya nchi ilipofikia isingekuwa rahisi kwa taifa linalojielewa kama Ulaya ama USA.
Eeh wote tuwe colonized tu hamna namnaNdo mana Trump alisema tutawaliwe upya mana hatujielewi tukiongozwa na viongozi wa nchi.