Machwa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ§•πŸ§•πŸ€¦πŸΎβ€β™‚οΈ
 
Somo hapa ni kwamba hakuna strategic planning ya shirika.

Hakuna taasisi iliyojipanga inaweza badilisha mission statement yake kirahisi hivi,

Kiserikali ambayo story yake ni ndefu zaidi, bearing in mind energy security ni swala la usalama, senior management ya TANESCO hakuna hata mtu mmoja mwenye shahada ya kwanza au MBA.

Same thing wizarani, waziri, katibu mkuu, mkurugenzi wa nishati; hakuna hata mmoja mwenye ya biashara.

Ujinga wetu unatutosha wenyewe.

Apparently, things just happen in life bila ya mikakati. Kama una akili zako timamu hawa mawaziri wa CCM zero kuhusu sector ΕΌako ndio uwaite mabasi; inabidi uwe mvumilivu kweli.

Usalama wa taifa ni mchezo wa watu wenye akili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…