Biteko: Shida ya umeme sasa basi, megawati 235 zimeingia Grid ya Taifa
Ukweli lazima usemwe.

Huu mradi aliyekomaa na mpaka sasa unakamilika ni hayati JPM. Jembe la Africa na mwanamapinduzi.

Tunakwenda kunufaika Watanzania wote kwa ujumla.

Tuwapongeze CCM kwa hili.

Umeme ni muhimu kwa uchumi wa Taifa, mama ntilie, walimu na hata sisi wanaChadema tutanufaika.
Kuna yule kahaba na yule mlevi wa konyagi wanataka kusema huo mradi ni vision yao wakati shujaa JPM NDIYO KILA KITU.
 
👉🌈 una vituko vya hatari, umepewa nafasi ya kuigiza kama cdm lakini unajimix vibaya. Kwamba unajiondoa cdm, lakini hapo hapo unawataka waipongeze ccm? Kwanini usiwapongeze na wanaccm wenzio?
Kwani we jamaa ni shoga ee? Mbona unapenda sana kuzungumzia habari hiyo kwa kuonyesha onitsha huu mbendera wako?!!!
 
Ukweli lazima usemwe.

Huu mradi aliyekomaa na mpaka sasa unakamilika ni hayati JPM. Jembe la Africa na mwanamapinduzi.

Tunakwenda kunufaika Watanzania wote kwa ujumla.

Tuwapongeze CCM kwa hili.

Umeme ni muhimu kwa uchumi wa Taifa, mama ntilie, walimu na hata sisi wanaChadema tutanufaika.
Mkuu subiri kidogo, bei ya umeme kwa unit ikishuka kwa asilimia 50% hapo watastahili sifa. Mpaka sasa hakuna anayetamka hilo!

Uzalishaji wa nishati na maendeleo mengineyo nchini ni jukumu la lazima la chama chochote tawala kupitia serikali yake!

Usilazimishe kila mtu kuwa chawa!
 
CDM na ndrugu zao,
wakigoma kuwapongeza CCM kwa kukamilika kwa mradi mkubwa sana wa JNHPP.

Wananchi wa Tanzania kwa umoja na mshikamano wao,
wataipongeza CCM kwa hilo na mengine mengi kwenye sanduku la kura mapema mwishoni mwa 2024 Lakini pia Oct 2025🐒
Mkuu kwani bwawa limejengwa kwa hela ya mshahara wa Magufuli? Au limejengwa kwa hela ya wanaccm pekee yao???
 
Ukweli lazima usemwe.

Huu mradi aliyekomaa na mpaka sasa unakamilika ni hayati JPM. Jembe la Africa na mwanamapinduzi.

Tunakwenda kunufaika Watanzania wote kwa ujumla.

Tuwapongeze CCM kwa hili.

Umeme ni muhimu kwa uchumi wa Taifa, mama ntilie, walimu na hata sisi wanaChadema tutanufaika.
Vipi juzi si ulileta uzi hapa kuwa unahamia ccm? Bado tu au unasubiri matarumbeta?
 
Yaani viongozi wa Kiafrika wanapenda kitu kinaitwa uzinduzi, ni muendelezo ule ule wa uswahili wa kucheza cheza ngoma na sherehe za kitamaduni...
Mkuu kwani ngoma za Kiswahili zina ubaya gani, zinakuathiri nini? Usomi wa mwafrika kweli ni mzigo!
 
Tatizo tunawapa uongozi watu wenye upeo mdogo tokea darasani.
Huyu Biteko huyu ndiye atatue matatizo ya nishati kweli?.
Nasikitika sana.
 
Ukweli lazima usemwe.

Huu mradi aliyekomaa na mpaka sasa unakamilika ni hayati JPM. Jembe la Africa na mwanamapinduzi.

Tunakwenda kunufaika Watanzania wote kwa ujumla.

Tuwapongeze CCM kwa hili.

Umeme ni muhimu kwa uchumi wa Taifa, mama ntilie, walimu na hata sisi wanaChadema tutanufaika.
Ndo mana nilisema wewe ni ch......oko
Wewe si ulijiondoa cdm? Hao wana cdm unaowaita hapa ni wepi? Punguani wewe
 
Mkuu kwani bwawa limejengwa kwa hela ya mshahara wa Magufuli? Au limejengwa kwa hela ya wanaccm pekee yao???
hakuna mgao wa umeme tena nchini, injoy kazi nzur sana inayofanywa na serikali ya CCM chini ya kiongozi mahiri, makini na madhubuti comrade Dr Samia Suluhu Hassan 🐒

Bado kazi kubwa na nzur sana inaendelea. Maswali na hoja zingine za kinadharia kama hiyo yako, tuweza ulizana siku nyingine, kwani muda hakuna tena. Hivi sasa ni kazi kazi kazi kazi kwa vitendo kwa maslahi mapana ya nchi na waTanzania wote🐒
 
Naibu Waziri Mkuu na waziri wa Nishati Dkt Dotto Biteko ameshuhudia uwashwaji wa mtambo namba tisa katika bwawa la kuzalisha umeme la Julis Nyerere JNHPP ambao umeanza kusambaza umeme megawat 235 katika gridi ya Taifa.

Akishuhudia uwashwaji wa Mtambo huo wa kuzalisha umeme Dkt biteko amesema uzalishaji huo wa megawat 235 utapunguza mgao wa Umeme kwa asilimia 85 na hivyo wananchi wataondokana na kero ya umeme.

"Hata hivyo uzinduzi rasmi wa mitambo miwili, mtambo namba nane na mtambo namba tisa utafanywa na Rais Dkt Samia Suluhu Hassan mwezi ujao wa tatu ambapo mitambo yote hiyo miwili itakuwa na uwezo wa kuzalisha umeme megawati 470" amesema Dkt Biteko

Pia soma:
- Dkt. Biteko: Nataka niwahakikishie tutawapa umeme Watanzania
Pinga Pinga mpo?
 
🌈 Limetuchoma kwenye angle gani, ameigiza kujitoa cdm, na bado anawataka hao hao cdm wawapongeze ccm!
Hakuna mgao tena wa umeme ni muda wa kuinjoy kazi kubwa na nzur sana inayofanywa na serikali ya CCM chini ya Rais mahiri na madhubuti sana comrade Dr.SSH, katika kuwaletea Watanzania wote huduma bora na za uhakika Lakini pia kuchochea unafuu wa maisha kwa Wananchi 🐒
 
Naibu Waziri Mkuu na waziri wa Nishati Dkt Dotto Biteko ameshuhudia uwashwaji wa mtambo namba tisa katika bwawa la kuzalisha umeme la Julis Nyerere JNHPP ambao umeanza kusambaza umeme megawat 235 katika gridi ya Taifa.

Akishuhudia uwashwaji wa Mtambo huo wa kuzalisha umeme Dkt biteko amesema uzalishaji huo wa megawat 235 utapunguza mgao wa Umeme kwa asilimia 85 na hivyo wananchi wataondokana na kero ya umeme.

"Hata hivyo uzinduzi rasmi wa mitambo miwili, mtambo namba nane na mtambo namba tisa utafanywa na Rais Dkt Samia Suluhu Hassan mwezi ujao wa tatu ambapo mitambo yote hiyo miwili itakuwa na uwezo wa kuzalisha umeme megawati 470" amesema Dkt Biteko

Pia soma:
- Dkt. Biteko: Nataka niwahakikishie tutawapa umeme Watanzania
but,"time will speak the truth,time never lie,political is zigzag"
 
Mkuu kwani bwawa limejengwa kwa hela ya mshahara wa Magufuli? Au limejengwa kwa hela ya wanaccm pekee yao???
Kwani kilichokwamisha ujenzi toka enzi za Nyerere miaka ya 70 , Mwinyi, Mkapa, Kikwete kilikuwa ni nini? Na JPM aliwezaje?
 
Back
Top Bottom