Biteko: Shida ya umeme sasa basi, megawati 235 zimeingia Grid ya Taifa
Ila Bukoba, Missenyi na maeneo mengine ya huko hawajawahi kuona mgao wa umeme, Tanesco wazenguaji sana kwenye maeneo mengine
Grid ya bukoba na environs sio same na ya nchi nzima mko indepedent. Kuna ile solar plant kubwa ilijengwa 2 years ago ina supplement grid power hence hawakatiwi umeme
 
Mgao wa umeme kwa mkoa wa Dar Es Salaam umeisha zitabaki dharula tu ambazo zinatokana na miundombinu chakavu mara kunguru kakanyaga waya upepo mafundi wanaenda kurekebisha na transfoma nguzo zimekuwa chakavu
 
Ukweli lazima usemwe.

Huu mradi aliyekomaa na mpaka sasa unakamilika ni hayati JPM. Jembe la Africa na mwanamapinduzi...
👉🌈 una vituko vya hatari, umepewa nafasi ya kuigiza kama cdm lakini unajimix vibaya. Kwamba unajiondoa cdm, lakini hapo hapo unawataka waipongeze ccm? Kwanini usiwapongeze na wanaccm wenzio?
 
Ukweli lazima usemwe.

Huu mradi aliyekomaa na mpaka sasa unakamilika ni hayati JPM. Jembe la Africa na mwanamapinduzi.

Tunakwenda kunufaika Watanzania wote kwa ujumla.

Tuwapongeze CCM kwa hili.

Umeme ni muhimu kwa uchumi wa Taifa, mama ntilie, walimu na hata sisi wanaChadema tutanufaika.
..Vipi kuhusu maumivu na hasara ya kukosa umeme miaka na miaka?

..Je, Ccm ina mpango wowote wa kuwaomba radhi Watanzania?

..MKOPO watalipa Ccm peke yao au utalipwa na Watanzania wote?

..Mwisho, umeme utashuka bei?
 
👉🌈 una vituko vya hatari, umepewa nafasi ya kuigiza kama cdm lakini unajimix vibaya. Kwamba unajiondoa cdm, lakini hapo hapo unawataka waipongeze ccm? Kwanini usiwapongeze na wanaccm wenzio?
Pimbi mburula
 
hilo nalo limewachomaee 🐒

ama kweli, Ukweli mchungu 🐒
 
Nye Nye Nye
Mbona juzi juzi tu tuliambiwa kuwa serikali haiwezi kusema lini tatizo la umeme litaisha?
 
Ukweli lazima usemwe.

Huu mradi aliyekomaa na mpaka sasa unakamilika ni hayati JPM. Jembe la Africa na mwanamapinduzi.

Tunakwenda kunufaika Watanzania wote kwa ujumla.

Tuwapongeze CCM kwa hili.

Umeme ni muhimu kwa uchumi wa Taifa, mama ntilie, walimu na hata sisi wanaChadema tutanufaika.
CDM na ndrugu zao,
wakigoma kuwapongeza CCM kwa kukamilika kwa mradi mkubwa sana wa JNHPP.

Wananchi wa Tanzania kwa umoja na mshikamano wao,
wataipongeza CCM kwa hilo na mengine mengi kwenye sanduku la kura mapema mwishoni mwa 2024 Lakini pia Oct 2025🐒
 
Hapo ni kupigwa danadana tu mpk kifo.
Hadithi njoo utamu kolea
 
Ukweli lazima usemwe.

Huu mradi aliyekomaa na mpaka sasa unakamilika ni hayati JPM. Jembe la Africa na mwanamapinduzi.

Tunakwenda kunufaika Watanzania wote kwa ujumla.

Tuwapongeze CCM kwa hili.

Umeme ni muhimu kwa uchumi wa Taifa, mama ntilie, walimu na hata sisi wanaChadema tutanufaika.
We phalla ni mdudu wa kijani 200%
 
Ukweli lazima usemwe.

Huu mradi aliyekomaa na mpaka sasa unakamilika ni hayati JPM. Jembe la Africa na mwanamapinduzi.

Tunakwenda kunufaika Watanzania wote kwa ujumla.

Tuwapongeze CCM kwa hili.

Umeme ni muhimu kwa uchumi wa Taifa, mama ntilie, walimu na hata sisi wanaChadema tutanufaika.
Mradi bado haujakamilika wewe. Acha kupotosha. Wakamilishe kama ilivyo Tara jiwe then wapongezwe.

Halafu, wao wanampongeza Maza kwa kila jambo, kwa nini unataka wengine wakipongeze Chama.
 
Wanauchelewesha mradi kwa makusudi ili wautumie kama silaha ya uchaguzi. Washeni umeme watanzania tutawapima kwa vingine vingi ambavyo mmekuwa mnachelewesha kwa makusudi kqma mtaji wa kisiasa badala ya kuwapa wananchi hudumu wanayolipia kwa kodi zao.
 
Ukweli lazima usemwe.

Huu mradi aliyekomaa na mpaka sasa unakamilika ni hayati JPM. Jembe la Africa na mwanamapinduzi.

Tunakwenda kunufaika Watanzania wote kwa ujumla.

Tuwapongeze CCM kwa hili.

Umeme ni muhimu kwa uchumi wa Taifa, mama ntilie, walimu na hata sisi wanaChadema tutanufaika.
Chadema na wahuni wa ccm si mlimpinga jpm kwenye hii miradi vipi tena ?
 
Back
Top Bottom