Bitukinao si tu hajali kuhusu TAIFA bali pia hasikii chochote, masikioni kavaa pamba na machoni kavaa miwani ya mbao

Bitukinao si tu hajali kuhusu TAIFA bali pia hasikii chochote, masikioni kavaa pamba na machoni kavaa miwani ya mbao

05CUBA

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2025
Posts
1,106
Reaction score
1,650
Unaweza kumhukum Bure huyu mtu ila ukijua kwamba uwezo wake wa kufikiri umeishia kuule kwenye ukarani na washauri wake ndo wanamwendesha namna hiyo akiwa kitini basi utapunguza kumuhukumu .

Hebu fikiria form four failure alopitia cheti na diploma anawezaje kumanage heavy tasks kama hizo tunazomuhitaji amanage ??

Kampeni zinaendelea, yeye yupo busy kuahidi matrekta millioni kumi kwa wilaya moja. Wakati taifa ilihitqaji sana mapinduzi ya kilimo since 2021 alipochukuankijiti

Yupo ana ahidi ajira 7000 wakati gape la walim linalohotajika mashuleni ni walimu zaidi ya 250,000

Yupo an ahidi nishati Safi, wakati mitaani huku kabla ya nishati tulihitaji usalama na haki kutoka kwenye dola na sio kubagazwa na kunyanyaswa.


UnaweZa sema anqpuuza malalamiko na mahitaji yetu ila si ajabu pale alipo hasikii wala haoni yeyote akiongea. yamkini angesikia hata anachokisema polepole na gwajima kwa weredi angeelewa namna anavyokosolewa na aidha angejirekebisha au kama mtu mzima angechutama kwa kuachia demokrasia iendelee nae abaki na heshima yake kuliko sasa anavyozidi kujiharibia.

Hebu fikilia vizuri ndugu , Kipindi cha mkapa washauri wa Rais walikua akina Mchungaji mwakasege na some notable norious figures in our country. Ila leo anashauriwa na wezi waloshirki ufisadi hapo nyuma... kwa IQ yake ndogo hawezi akachanganya za kuambiawa na zake binafsi sabbu hazipo. So anafata tu za kuambiwa.

Angekuwa anasikia the way anasemwa angeliachia wapinzani huru wafanye siasa zao, sasa hasikii lolote wamemziba, ona kampeni anazofanya ... yupo anabishana na hoja na agenda za watu kama TUNDU ANTIPAS LISSU ambaye yupo gerezani, anbishana na JOHN HECHE ambaye kazuiwa kufanya siasa mpaka mahakama itakapo waruhusu.

#Yan yupo stejini anabishana hoja na watu ambao hawashiriki uchaguzi.
Is it normal ???

#Hapana it's not normal ni washauri wake ambao wamemteka asisikie yawahusuyo wananchi na kimsingi wanampa agendazao na wala si za taifa
 
Back
Top Bottom