Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
Hii itaendan na serikali kussuport ujenzi wa asphalt concrete mixing plants nyingi sana lengo
- Lami inayotengenezwa hapa Tanzania inakua na uzuri na ubora wa hali ya juu sana
- View attachment 3343850
Mtu unaongelea bitumen unasema ni vichekesho hii inchi inasafari ndefu sanaWakati nakua miaka ya 80 nlijua wanaokuwa na mustache ni wachekeshaji. Sasa hivi nina miaka 50 plus nmegundua ni kweli. Huwa wanaamua kuchekesha kwa namna tofaut tofaut.
Wewe ni mgombea Urais tawi la Yanga la WE LOVE YOU HERSI unaleta sera huku? 🤣
Comedian utachokwa tu maana huna vichekesho vipya na hujui kuchekeshaMtu unaongelea bitumen unasema ni vichekesho hii inchi inasafari ndefu sana
Sema tu huna unachoelewa juu ya haya mambo
Tatizo una-upeo mdogoWe ni mpuuzi sana
Una akili ndogo sio kosa lakoComedian utachokwa tu maana huna vichekesho vipya na hujui kuchekesha
Waafrika kila siku wana-ndoto za kwenda ulaya ila unawaambia yale ya ulaya hata hapa tunaweza fanya wanakuona mjinga-mwafrika ni mtu anayeamini yeye hawezi kituNdio mzee
Una akili ndogo sio kosa lako
Wewe ongea ujinga ukichoka utaachaHujui kuchekesha. Uliwaza mwenyewe ukaona UTOKE VIPI? HII STYLE IMEBUMA INAKUCHORESHA TU UNAONEKANA UNA STRESS.
Hujui kuchekesha. Uliwaza mwenyewe ukaona UTOKE VIPI? HII STYLE IMEBUMA INAKUCHORESHA TU UNAONEKANA UNA STRESS. HUNA AKILI NA KITUKO.Wewe ongea ujinga wewe ukichoka utaacha
huna unachonipunguzia kwa hiyo endelea kutema nyongo zote ukimaliza utaendelea na shughuli zakoHujui kuchekesha. Uliwaza mwenyewe ukaona UTOKE VIPI? HII STYLE IMEBUMA INAKUCHORESHA TU UNAONEKANA UNA STRESS. HUNA AKILI NA KITUKO.
Uje uongelee na mchakato wa mtaala wa elimu kiongozi ni elimu ipi inafaa kuwa lazima na muhimu kwa manufaa ya Nchihuna unachonipunguzia kwa hiyo endelea kutema nyongo zote ukimaliza utaendelea na shughuli zako
Hujui kuchekesha. Uliwaza mwenyewe ukaona UTOKE VIPI? HII STYLE IMEBUMA INAKUCHORESHA TU UNAONEKANA UNA STRESS. HUNA AKILI NA KITUKO.huna unachonipunguzia kwa hiyo endelea kutema nyongo zote ukimaliza utaendelea na shughuli zako
Nakuambia wewe unaona nchi kama familia yakoTatizo una-upeo mdogo
Mkuu we ni mpenda maendeleo au Kuna kacheo umehaidiwa na rais😂Uje uongelee na mchakato wa mtaala wa elimu kiongozi ni elimu ipi inafaa kuwa lazima na muhimu kwa manufaa ya Nchi
Cc Castle_Lite Evelyn Salt Harmful
Aah doctor shikaHii itaendan na serikali kussuport ujenzi wa asphalt concrete mixing plants nyingi sana lengo
- Lami inayotengenezwa hapa Tanzania inakua na uzuri na ubora wa hali ya juu sana
- View attachment 3343850