Castle_Lite
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 4,646
- 10,442
Harmful ww tunakuweka TAMISEMI, wizara nyeti kabisa.Kwa ujobless wangu wizara yoyote Siikatai😂
Simamia Local Government yote.
😂😂😂
Harmful ww tunakuweka TAMISEMI, wizara nyeti kabisa.Kwa ujobless wangu wizara yoyote Siikatai😂
😂😂😂Hii post naenda kuonesha kwenye kikao Cha ukoo wajue yajayo yanafurahisha muheshimiwa waziri mkuu

Kesho ni mwendo wa kimea mwanzo mwisho.Dah! Waheshimiwa Mawaziri wenzangu leo nilikuwa busy sana.
Simu sijashika shika . Na ndio nafika home.
Napumzika na nikusanye nguvu za tmr . Kuna Church, kuna Mpira wa Simba na Kimea kitaanza mapema sana 😂😂😂😂
Kwahiyo naomba Leo muwe bega kwa bega na Mh Raisi akiwa anatangaza sera zake.
CC
Nakala kwa baraza lote la mawaziri chini Raisi wetu Mh Dennis Roberts
Evelyn Salt dosho12 Harmful min -me Dr am 4 real PhD Nomadix stakehigh
Kwa hizi spana unazokula humu shida siyo Bitumen wala Wewe, shida ni nguvu za araya kwa sasa haziendani na hizo mada, watu wanawaza what next after Gwajima vs Nanihii,, watu wakiona post mpya wanataka iendane na October 25,, yaani we unaleta Blues kwenye Show ya Singeli ,,,
Halafu hii nchi watu wanajua vitu vingi ambavyo vinavyoweza kuzalishwa hapa hapa na kupunguza gharama...

Kama wanajua kwanini havizalishwi na kwanini unapenda ku-generalised mambo sio marahisi hivyo ndo maana mpaka leo nchi bado ni maskiniKwa hizi spana unazokula humu shida siyo Bitumen wala Wewe, shida ni nguvu za araya kwa sasa haziendani na hizo mada, watu wanawaza what next after Gwajima vs Nanihii,, watu wakiona post mpya wanataka iendane na October 25,, yaani we unaleta Blues kwenye Show ya Singeli ,,,