Bitumen inayotengeneza lami itakuwa inazalishwa hapa Tanzania

Hukatazwi. Mbona upo sahihi kabisa. Kwa siku toa kama 5 hivi. Mpaka ukija pata mume uwe busy.
Naporomosha nyuzi bila aibu yeyote ile au kuogopa dhihaka au matusi

Mimi hata untukanaje siwezi kasirika na wala siwezi kukutukana
Mimi ni Rais mtarajiwa sasa nawezaje kumtukana mwananchi amabaye ntakuja kumuongoza

Wewe tukana unavyoweza
 
unafikri ukiniambia ntapata mume ntakasirika 🤣🤣🤣🤣😂😂😅😅😅😅 unaakilia ndogo sana nimekupa ruhusa itume hiyo pharse ya "mpaka ukija pata mume uwe busy" hata mara elfu moja
 
Mkuu achana nao hao

Wanataka nani aseme anataka kuwa Rais ndiyo wamuone hachekeshi?
 
Upuuzi wake
Upo wapi? Kisa amesema anataka kuwa Rais? Hata magufuli miaka 20 iliposema anataka kugombea urais kuna watu walimcheka ila ndiyo hivyo alikuwa Rais
Jambo ambalo linanshangaza kwa watanzania serious mtu anakasirika kusikia mimi nina-malengo ya kuwa Rais wa Tanzania yaani kosa langu liko wapi mbona tunawatu wanafikra za ajabu sana
 
Mkuu achana nao hao
Wanataka nani aseme anataka kuwa Rais ndiyo wamuone hachekeshi?
Jamaa ametumia nguvu kubwa kunilazimisha na mimi nianze kuporomosha matusi kama yeye

Mimi kabla sijaanza kupost video na kutangaza nia tayari nilishawasoma na naju akili za watanzania

Ningekua mtu wa hasira ningeshapigwa ban mda sana sababu kuna watu wanakulazimisha utoke kwenye reli

Huku mimi natumia sana akili kuliko hisia
 
Ila angesema Jessica magufuli anataka kuwa Rais si ungemuona anamaanisha?
Na angesifiwa kama anafaa hii inchi kuna nafasi tumeshaona ni exclusive kwa watu fulani fulani ni psychology imeshajengwa hivyo japokua kila mtu anahaki ya kuwa na ndoto za kuwa Rais wa Tanzania kikubwa usivunje sheria ya nchi
 
unafikri ukiniambia ntapata mume ntakasirika 🤣🤣🤣🤣😂😂😅😅😅😅 unaakilia ndogo sana nimekupa ruhusa itume hiyo pharse ya "mpaka ukija pata mume uwe busy" hata mara elfu moja
Hukatazwi. Mbona upo sahihi kabisa. Kwa siku toa kama 5 hivi. Mpaka ukija pata mume uwe busy.
 
Na angesifiwa kama anafaa hii inchi kuna nafasi tumeshaona ni exclusive kwa watu fulani fulani ni psychology imeshajengwa hivyo japokua kila mtu anahaki ya kuwa na ndoto za kuwa Rais wa Tanzania kikubwa usivunje sheria ya nchi
Ajabu! watu hao wanaopinga watu fulani kuwa viongozi akijitokeza mtu fulani asiyejulikana kutaka uongozi wanamuaona comedian waTanzania wengi sisi ni mazuzu
 
Back
Top Bottom