Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
- Thread starter
-
- #21
Na bado kuna nyuzi nyingi sana zinakuja natumia haki yangu kama member kwa hiyo vimba na pasuka hiyo hainuhusuNakuambia wewe unaona nchi kama familia yako
Tutolee upuuzi wako hapa
Na bado kuna nyuzi nyingi sana zinakuja natumia haki yangu kama member kwa hiyo vimba na pasuka hiyo hainuhusuHujui kuchekesha. Uliwaza mwenyewe ukaona UTOKE VIPI? HII STYLE IMEBUMA INAKUCHORESHA TU UNAONEKANA UNA STRESS. HUNA AKILI NA KITUKO.
Na bado kuna nyuzi nyingi sana zinakuja natumia haki yangu kama member kwa hiyo vimba na pasuka hiyo hainuhusu
Naporomosha nyuzi bila aibu yeyote ile au kuogopa dhihaka au matusiHukatazwi. Mbona upo sahihi kabisa. Kwa siku toa kama 5 hivi. Mpaka ukija pata mume uwe busy.
Hukatazwi. Mbona upo sahihi kabisa. Kwa siku toa kama 5 hivi. Mpaka ukija pata mume uwe busy.Naporomosha nyuzi bila aibu yeyote ile au kuogopa dhihaka au matusi
Mimi hata untukanaje siwezi kasirika na wala siwezi kukutukana
Mimi ni Rais mtarajiwa sasa nawezaje kumtukana mwananchi amabaye ntakuja kumuongoza
Wewe tukana unavyoweza
unafikri ukiniambia ntapata mume ntakasirika π€£π€£π€£π€£πππ π π π unaakilia ndogo sana nimekupa ruhusa itume hiyo pharse ya "mpaka ukija pata mume uwe busy" hata mara elfu mojaHukatazwi. Mbona upo sahihi kabisa. Kwa siku toa kama 5 hivi. Mpaka ukija pata mume uwe busy.
Upo wapi? Kisa amesema anataka kuwa Rais? Hata magufuli miaka 20 iliposema anataka kugombea urais kuna watu walimcheka ila ndiyo hivyo alikuwa RaisWe ni mpuuzi sana
Wanataka nani aseme anataka kuwa Rais ndiyo wamuone hachekeshi?unafikri ukiniambia ntapata mume ntakasirika π€£π€£π€£π€£πππ π π π unaakilia ndogo sana nimekupa ruhusa itume hiyo pharse ya "mpaka ukija pata mume uwe busy" hata mara elfu moja
Ila angesema Jessica magufuli anataka kuwa Rais si ungemuona anamaanisha?Hujui kuchekesha. Uliwaza mwenyewe ukaona UTOKE VIPI? HII STYLE IMEBUMA INAKUCHORESHA TU UNAONEKANA UNA STRESS. HUNA AKILI NA KITUKO.
Jambo ambalo linanshangaza kwa watanzania serious mtu anakasirika kusikia mimi nina-malengo ya kuwa Rais wa Tanzania yaani kosa langu liko wapi mbona tunawatu wanafikra za ajabu sanaUpuuzi wake
Upo wapi? Kisa amesema anataka kuwa Rais? Hata magufuli miaka 20 iliposema anataka kugombea urais kuna watu walimcheka ila ndiyo hivyo alikuwa Rais
Jamaa ametumia nguvu kubwa kunilazimisha na mimi nianze kuporomosha matusi kama yeyeMkuu achana nao hao
Wanataka nani aseme anataka kuwa Rais ndiyo wamuone hachekeshi?
Na angesifiwa kama anafaa hii inchi kuna nafasi tumeshaona ni exclusive kwa watu fulani fulani ni psychology imeshajengwa hivyo japokua kila mtu anahaki ya kuwa na ndoto za kuwa Rais wa Tanzania kikubwa usivunje sheria ya nchiIla angesema Jessica magufuli anataka kuwa Rais si ungemuona anamaanisha?
Ahsante kwa kushiriki na karibu tenaBwana mdogo shika jembe kalime
Ahsante kwa kushiriki na karibu tenaAah doctor shika
Hukatazwi. Mbona upo sahihi kabisa. Kwa siku toa kama 5 hivi. Mpaka ukija pata mume uwe busy.unafikri ukiniambia ntapata mume ntakasirika π€£π€£π€£π€£πππ π π π unaakilia ndogo sana nimekupa ruhusa itume hiyo pharse ya "mpaka ukija pata mume uwe busy" hata mara elfu moja
Ila angesema Jessica magufuli anataka kuwa Rais si ungemuona anamaanisha?
Nishapiga simu milembe wamesema tukiwahi unapona tukichelewa utazidi kuchanganyikiwaAhsante kwa kushiriki na karibu t
Ahsante kwa kushiriki na karibu tenaNishapiga simu milembe wamesema tukiwahi unapona tukichelewa utazidi kuchanganyikiwa
Ajabu! watu hao wanaopinga watu fulani kuwa viongozi akijitokeza mtu fulani asiyejulikana kutaka uongozi wanamuaona comedian waTanzania wengi sisi ni mazuzuNa angesifiwa kama anafaa hii inchi kuna nafasi tumeshaona ni exclusive kwa watu fulani fulani ni psychology imeshajengwa hivyo japokua kila mtu anahaki ya kuwa na ndoto za kuwa Rais wa Tanzania kikubwa usivunje sheria ya nchi