Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
- Thread starter
-
- #41
Watanzania walio wengi sana hawajui nini wanatakaAjabu! watu hao wanaopinga watu fulani kuwa viongozi akijitokeza mtu fulani asiyejulikana kutaka uongozi wanamuaona comedian waTanzania wengi sisi ni mazuzu
Mia zaidi ya 80 waTanzania wengi hawajui nini wanatakaWatanzania walio wengi sana hawajui nini wanataka
Kuna mmoja alikuja akanidhihaki wewe uzi niliouanzisha, alafu baada ya mda nikakuta ameanzisha uzi analalamika nilishangaa sanaKabisa ni asili
Mia zaidi ya 80 waTanzania wengi hawajui nini wanataka
Inferiority complex inatusumbua.Waafrika kila siku wana-ndoto za kwenda ulaya ila unawaambia yale ya ulaya hata hapa tunaweza fanya wanakuona mjinga-mwafrika ni mtu anayeamini yeye hawezi kitu
Tupo pamoja π€π»π€π»ππDah! Waheshimiwa Mawaziri wenzangu leo nilikuwa busy sana.
Simu sijashika shika . Na ndio nafika home.
Napumzika na nikusanye nguvu za tmr . Kuna Church, kuna Mpira wa Simba na Kimea kitaanza mapema sana ππππ
Kwahiyo naomba Leo muwe bega kwa bega na Mh Raisi akiwa anatangaza sera zake.
CC
Nakala kwa baraza lote la mawaziri chini Raisi wetu Mh Dennis Roberts
Evelyn Salt dosho12 Harmful min -me Dr am 4 real PhD Nomadix stakehigh
Kaka anza na kimea , Dennis bob ni mgonjwa wa akili bwashee achana naeDah! Waheshimiwa Mawaziri wenzangu leo nilikuwa busy sana.
Simu sijashika shika . Na ndio nafika home.
Napumzika na nikusanye nguvu za tmr . Kuna Church, kuna Mpira wa Simba na Kimea kitaanza mapema sana ππππ
Kwahiyo naomba Leo muwe bega kwa bega na Mh Raisi akiwa anatangaza sera zake.
CC
Nakala kwa baraza lote la mawaziri chini Raisi wetu Mh Dennis Roberts
Evelyn Salt dosho12 Harmful min -me Dr am 4 real PhD Nomadix stakehigh
π€«π€« wasije kusikia wengine unataka kuniharibia fursa ππKuna kacheo umehaidiwa na raisπ
Kaka anza na kimea , Dennis bob ni mgonjwa wa akili bwashee achana nae
Raisi wenu ni kiazi sanaHana ugonjwa wowote, Mh Rais yuko Timamu.
Wacha amwage sera zake, mwaka 2030 tutarud nyuma kusoma sera moja baada ya nyingne.
Captain tunakuomba usitu kosanishe na Raisi wetu PLEASE ππRaisi wenu ni kiazi sana
Mdomo wangu komaπ«’π€«π€« wasije kusikia wengine unataka kuniharibia fursa ππ
Captain , nasemaje mna raisi kiazi mnoCaptain tunakuomba usitu kosanishe na Raisi wetu PLEASE ππ
Mdomo wangu komaπ«’
π
Tukiingia madarakani ni bora utafute nchi ya kukaa ππCaptain , nasemaje mna raisi kiazi mno
Kwa ujobless wangu wizara yoyote SiikataiπTunakupeleka Wizara ya maliasili na Utalii,
Mdomo wako umekuponza πππ