Bitumen inayotengeneza lami itakuwa inazalishwa hapa Tanzania

Kesho ni mwendo wa kimea mwanzo mwisho.
 
Kwa hizi spana unazokula humu shida siyo Bitumen wala Wewe, shida ni nguvu za araya kwa sasa haziendani na hizo mada, watu wanawaza what next after Gwajima vs Nanihii,, watu wakiona post mpya wanataka iendane na October 25,, yaani we unaleta Blues kwenye Show ya Singeli ,,,
Halafu hii nchi watu wanajua vitu vingi ambavyo vinavyoweza kuzalishwa hapa hapa na kupunguza gharama...
 
Kama wanajua kwanini havizalishwi na kwanini unapenda ku-generalised mambo sio marahisi hivyo ndo maana mpaka leo nchi bado ni maskini

Alafu mimi siishi kwa mkumbo kama walivyo watanzania wengi, wewe endelea kufuatilia mambo ya gwajima ila sisi wengine ambao hatuongozwi na matukio tunaendelea na mambo yetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…