Black Americans wanaondoka Tanzania na hizi ndio sababu zao

Ardhi nimali ya jamhuri ya muungano wa Tz nenda tu zanzibar hapo uone kama utapata ardhi kama sio mzenji, waondoke tu tofauti na hapo wakodishe izo ardhi kwa mkataba na nafikiri hata nchi nyingine hufanya ivyo ,ardhi ingekua inuzwa tu kama kambale maana yake wangechangishana wanakuja nunua mkoa mmoja wanafanya empire yao utawafanza nini so ivo yani
 
Zanzibar washajiongeza mgeni anaweza kumiliki nyumba ...fumba town karibia nyumba zote zimenunuliwa na wageni

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Kumbe ndio maana wateja wangu siowaoni. Kheeee.
Walishaanza kuniletea pesa hawa majamaa.
 
Nenda zanzibar uulize nyumba za fumba town zinamilikiwa na nani? Halafu urudi hpa kutujuza

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Kama walikuja Tanzania na "long term plans", basi lazima watakuwa wametafiti aka due diligence kuhusu sheria za umiliki wa ardhi kabla ya kuamua kuja kuwekeza. Huwezi kuja nchi ya Afrika kwa nia ya kuhamia halafu hujui sheria za umiliki wa ardhi kwenye nchi husika zikoje. Wewe ni mpumbavu.
 
Je Rwanda wana ardhi ya kuwapa?
 
Waende KENYA, kule ardhi haimilikwi na serekali, ukifika bei unapewa hekari zako
 
Ni kweli wamekuja sanaa, jana pia nimewana watatu tofauti, na niliwaona Palm village, Baada ya uzi uliodawi kuna wimbi la wamarekani nilijaribu kuakikisha nikagundua kweli. Lakni lakuamihia kwingine inabidi nichimbe tena
 
Huyu Atakuwa alikuwa na mabosi zake black americans walinyimwa ardhi wakaondoka anaposema walikuwa wengi ni wangapi?..tungeshasikia hiyo ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…