Kuna eneo katika black hole linaitwa event horizon.ukifika hapo yasemekana wewe utaweza kuuona ulimwengu yaani dunia,nyota na kadhalika lakini sisi duniani hatutaweza kukuona.hii ni kwa sababu mwanga unafika Kwenye black hole lakini hauwezi kutoka kwa sababu ya gravity ilivyokubwa.utaona kila kitu lakini hutaonekana.