Black Hole/ Shimo jeusi, What Is a Black Hole?

Kuna eneo katika black hole linaitwa event horizon.ukifika hapo yasemekana wewe utaweza kuuona ulimwengu yaani dunia,nyota na kadhalika lakini sisi duniani hatutaweza kukuona.hii ni kwa sababu mwanga unafika Kwenye black hole lakini hauwezi kutoka kwa sababu ya gravity ilivyokubwa.utaona kila kitu lakini hutaonekana.
 
Na mpaka ufike hapo "event horizon",utakuwa mzima kweli?.roho si itakuwa imekukimbia kurudi ilikotoka na kukuacha na limwili lako.

maana nahisi kuna maeneo huko angani hata majini yenyewe yanaogopa kusogolea kutokana na ma-gravitation force yasiyo ya kawaida kwa kiumbe cha hali yoyote kustahimili.

Anyway,Usinichukulie serious sana,nime comment kutokana na msukumo wa kiiamni za dini.
 
mkuu kwa hiyo huko ndio mbinguni au?
 
Ni mdau mmoja tu kwa jina la Monstgala ndio mwenye uwezo wa kushusha nondo za haya mavitu kwa lugha ya kiswahili ambayo wengi wetu tunaielewa.

Wadau wengine wote wataishia kukopi na kupest toka mitandao mingine kwa lugha ya kingereza.
Yupi hiyo mkuu?

Mtagi vasi nimuone atupe msaada
 
Back
Top Bottom