Black Jews of Tanzania

Black Jews of Tanzania

Status
Not open for further replies.
Joined
Feb 8, 2012
Posts
29
Reaction score
24
Nchini Tanzania kabila la wachaga kwa asilimia kubwa lina uhusiano na asili ya uyahudi.
kuna koo kubwa kama Nkya.,Mushi,kileo,Lema,Munisi,Munishi,kirenga., ambao ancestor wake au baba yao Mweri alihamia Kando kando ya mlima kilimanjaro maeneo ya kibosho ambapo baadae alizaa watoto na mtoto mkubwa aliitwa Munisi au Munishi au Nkya yote yana maana moja yani mwenye nchi na kichaga mtoto wa kwanza hakuwa wa baba bali mtoto wa Mungu kama ilivyo kwa wayahudi ya kuwa mzawa wa kwanza ni wa Bwana.huyu mweri aliamia Kenya ambapo mababu zake walikuwa na asili ya huko Ethiopia ambapo huko kuna jamii kubwa mno ya wayahudi weusi duniani.
wachaga wamekua ni watu wanaambatana na baraka za Mungu kama wamefanikiwa kibiashara Tanzania kama walivyo wenzao huko marekani
pia wamekuwa watu walioshika nyenzo kubwa za uchumi kama mabenki
katika vyuo vikuu wasomi wengi ni wachaga.
pia mkoa wa kilimanjaro umekuwa chemchem ya elimu Tanzania katika wasomi wakubwa utakao kutana nao kati ya kumi nane waliasoma Kulimanjaro.
pia katika nyanja za siasa wanasiasa wakubwa nao wametokea Kilimanjaro kama Mbowe,Mrema.mbatia.anna mkapa.ananilea Nkya.Mengi,pia kijana Billionaire Patrick Ngowi
zaidi ni watu wenye hofu ya Mungu ndio maana walipokea wamissionari vizuri na pia ni watoaji wazuri wa zakha na pia katika kumjengea Mungu nyumba za ibada.
Wanaweza kuishi sehemu yeyote na wana kibali cha kukubalika katika jamii za watu mbalimbali ndio kla mahali Africa masharik wapo
wengi wao hawana visogo kama walivyo wenzao jirani zao kutoka masharik ya kati.mfano tafuta mzenji mwenye kichogo .hakuna,pia wale mababu wa kichaga walikuwa warefu wenye nywele za singa pua ndefu na weusi.very inteligent .
 
Nyerere hakuwa mchaga,karume hakuwa mchaga,dr Ryoba sio mchaga,.wapo wasomi wengi tu ambao hawatoki kilimanjaro,kama mwesiga baregu,prof mkandara,prof mwakyusa,prof shivji,kwaiyo kusema kwamba wasomi wengi wametoka kilimanjaro sio kweli.ukweli ni kwamba kilimanjaro ni mkoa ulioendelea katika mambo ya elimu na kuwa na shule nyingi,sababu ni za kihistoria zaidi,wamisionari walichangia sana kwa hilo.
 
Umesahau wizi na unyang'anyi...je wayahudi walikua na asili ya wizi kama hawa wenzetu?

Kuhusu Patric Ngowi...huyu dogo utajiri wake unajulikana vzr tu kuwa ni mwizi na katapeli na kuhujumu biashara ya Solar kwenye kampuni ya mzungu mmoja wa uswiz anaefanyakazi UNHCR.

Mzungu huyu kila apatapo likizo hupendelea kukaa Tanzania! Akaamua kuanzisha biashara ya uuzaji wa bidhaa za solar na kumuajiri Ngowi na ofisi zao zilikua pale pembeni mwa Shoprite arusha! Kuna wakati huyu mzungu alisafiri kwenda Madagascar kikazi akakaa kwa md wa miezi 8 huku akiendelea kuwasiliana na Ngowi kujua progress ya biashara!

Kumbe mchaga a.k.a "black jew of Tanzania" keshabadili kila kitu na kusajili kwa majina yake! Kajimilikisha kila kitu na kuhama mji!! Hili suala lipo mahakamani kwasasa...

Hao ndio wanajiita "black jews of Tanzania" bhana...hahahaha!!!!! Give us a break.....
 
Nchini Tanzania kabila la wachaga kwa asilimia kubwa lina uhusiano na asili ya uyahudi.
kuna koo kubwa kama Nkya.,Mushi,kileo,Lema,Munisi,Munishi,kirenga., ambao ancestor wake au baba yao Mweri alihamia Kando kando ya mlima kilimanjaro maeneo ya kibosho ambapo baadae alizaa watoto na mtoto mkubwa aliitwa Munisi au Munishi au Nkya yote yana maana moja yani mwenye nchi na kichaga mtoto wa kwanza hakuwa wa baba bali mtoto wa Mungu kama ilivyo kwa wayahudi ya kuwa mzawa wa kwanza ni wa Bwana.huyu mweri aliamia Kenya ambapo mababu zake walikuwa na asili ya huko Ethiopia ambapo huko kuna jamii kubwa mno ya wayahudi weusi duniani.
wachaga wamekua ni watu wanaambatana na baraka za Mungu kama wamefanikiwa kibiashara Tanzania kama walivyo wenzao huko marekani
pia wamekuwa watu walioshika nyenzo kubwa za uchumi kama mabenki
katika vyuo vikuu wasomi wengi ni wachaga.
pia mkoa wa kilimanjaro umekuwa chemchem ya elimu Tanzania katika wasomi wakubwa utakao kutana nao kati ya kumi nane waliasoma Kulimanjaro.
pia katika nyanja za siasa wanasiasa wakubwa nao wametokea Kilimanjaro kama Mbowe,Mrema.mbatia.anna mkapa.ananilea Nkya.Mengi,pia kijana Billionaire Patrick Ngowi
jamani, wachaga tupo wa aina nyingi, wachaga wa kibosho, machame, rombo, marangu n.k, tujuze ni wachaga wa wapi ndio wayahudi? na je, kila mhamiaji tz ni myahudi? mmepima DNA zetu?
 
Nyerere hakuwa mchaga,karume hakuwa mchaga,dr Ryoba sio mchaga,.wapo wasomi wengi tu ambao hawatoki kilimanjaro,kama mwesiga baregu,prof mkandara,prof mwakyusa,prof shivji,kwaiyo kusema kwamba wasomi wengi wametoka kilimanjaro sio kweli.ukweli ni kwamba kilimanjaro ni mkoa ulioendelea katika mambo ya elimu na kuwa na shule nyingi,sababu ni za kihistoria zaidi,wamisionari walichangia sana kwa hilo.

Huyu alienzisha mada sijui kweli kama mu kichwa zimo,au uchaga unamsumbua,uisrael na uchaga wapi na wapi,kwa hiyo kabila likiwa na matajiri na wasomi wengi linakuwa na asili ya Israel,kwa hiyo na huko Kenya Wakikuyu wana asili ya Israel.Utajiri na usomi unachangiwa na mambo mengi,hapo nyuma ilikuwa ni kutokana na wamisionari ambao waliwekeza kwenye elimu katika sehemu walizofikia,na siku hizi ni mfumo ukiwa kwenye 18 za viongozi wa kiserikali utajiri utakujia tu na ndio maana hata maprofessa wamekimbilia kwenye siasa ,na kumbuka hata Rostam alipoingia bungeni baada ya Kabero kufalika alikuwa ni kijana tajiri wa kawaida sana tena sana,alikuwa hawafikii akina Rajani wa Rajani Industries au Abdu wa CMC motors,lakini baada ya kuingia kwenye siasa na kujipenyeza kwa wakubwa na kutengeneza dili nyingi sasa hata akina Kenyata hawamfikii,siasa na utajiri ni mchezo wa kiutawala na si eti uisrael
 
Nyepesi isiyo na mapana wala misingi wala ushahidi.. Being ancestors to Jewish Society sio big deal kama unavyotaka kuonyesha kila jamii ina tabaka au watu flani walioendelea ukienda India, China, South africa, na popote pale ipo hvyo
 
Nyerere hakuwa mchaga,karume hakuwa mchaga,dr Ryoba sio mchaga,.wapo wasomi wengi tu ambao hawatoki kilimanjaro,kama mwesiga baregu,prof mkandara,prof mwakyusa,prof shivji,kwaiyo kusema kwamba wasomi wengi wametoka kilimanjaro sio kweli.ukweli ni kwamba kilimanjaro ni mkoa ulioendelea katika mambo ya elimu na kuwa na shule nyingi,sababu ni za kihistoria zaidi,wamisionari walichangia sana kwa hilo.

wewe asili yako wapi?
sio una crash tuu.huo ni ukweli.
kwa mfano unapoambiwa wangoni asili yao ni Afrika kusini ni kwa sababu umesoma katika historia na uliandikwa.kuna historia nyingine hazijaandikwa katika vitabu vya shuleni.
 
Duh......aisee. Hii simulizi nzuri sana.
 
Haka ka sred ----- mtupu!
mbulumundu eti wanajisifu kuwa na asili ya uizrael... wakati wanaongoza kwa kuwafanya watoto mandondocha, kulala na binti zao bila kusahau ujambazi/mauaji na dhuruma.
 
Nyerere hakuwa mchaga,karume hakuwa mchaga,dr Ryoba sio mchaga,.wapo wasomi wengi tu ambao hawatoki kilimanjaro,kama mwesiga baregu,prof mkandara,prof mwakyusa,prof shivji,kwaiyo kusema kwamba wasomi wengi wametoka kilimanjaro sio kweli.ukweli ni kwamba kilimanjaro ni mkoa ulioendelea katika mambo ya elimu na kuwa na shule nyingi,sababu ni za kihistoria zaidi,wamisionari walichangia sana kwa hilo.

Hata wezi na majambazi wakubwa ni wachaga. Mafisadi wanaotafuna fedha za umma ni wachaga kwa kuwa wapo wengi maofisini. Kwa hiyo,ufisadi uliyotamalaki nchini una uhusiano wa moja kwa moja na wachaga.
 
Nchini Tanzania kabila la wachaga kwa asilimia kubwa lina uhusiano na asili ya uyahudi.
kuna koo kubwa kama Nkya.,Mushi,kileo,Lema,Munisi,Munishi,kirenga., ambao ancestor wake au baba yao Mweri alihamia Kando kando ya mlima kilimanjaro maeneo ya kibosho ambapo baadae alizaa watoto na mtoto mkubwa aliitwa Munisi au Munishi au Nkya yote yana maana moja yani mwenye nchi na kichaga mtoto wa kwanza hakuwa wa baba bali mtoto wa Mungu kama ilivyo kwa wayahudi ya kuwa mzawa wa kwanza ni wa Bwana.huyu mweri aliamia Kenya ambapo mababu zake walikuwa na asili ya huko Ethiopia ambapo huko kuna jamii kubwa mno ya wayahudi weusi duniani.
wachaga wamekua ni watu wanaambatana na baraka za Mungu kama wamefanikiwa kibiashara Tanzania kama walivyo wenzao huko marekani
pia wamekuwa watu walioshika nyenzo kubwa za uchumi kama mabenki
katika vyuo vikuu wasomi wengi ni wachaga.
pia mkoa wa kilimanjaro umekuwa chemchem ya elimu Tanzania katika wasomi wakubwa utakao kutana nao kati ya kumi nane waliasoma Kulimanjaro.
pia katika nyanja za siasa wanasiasa wakubwa nao wametokea Kilimanjaro kama Mbowe,Mrema.mbatia.anna mkapa.ananilea Nkya.Mengi,pia kijana Billionaire Patrick Ngowi
zaidi ni watu wenye hofu ya Mungu ndio maana walipokea wamissionari vizuri na pia ni watoaji wazuri wa zakha na pia katika kumjengea Mungu nyumba za ibada.
Wanaweza kuishi sehemu yeyote na wana kibali cha kukubalika katika jamii za watu mbalimbali ndio kla mahali Africa masharik wapo
wengi wao hawana visogo kama walivyo wenzao jirani zao kutoka masharik ya kati.mfano tafuta mzenji mwenye kichogo .hakuna,pia wale mababu wa kichaga walikuwa warefu wenye nywele za singa pua ndefu na weusi.very inteligent .

Ndivyo mnavyojidanganya. Au kwa mmetuibia sana nasi tukanyamaza ndo mnajiona mmebarikiwa.
 
kwani si wanasema kwenye vitabu vya dini kuwa binadamu wa kwanza kuumbwani ADAM NA HAWA.. kwahiyo binadamu wote ni wayahudi sio?
 
Nyerere hakuwa mchaga,karume hakuwa mchaga,dr Ryoba sio mchaga,.wapo wasomi wengi tu ambao hawatoki kilimanjaro,kama mwesiga baregu,prof mkandara,prof mwakyusa,prof shivji,kwaiyo kusema kwamba wasomi wengi wametoka kilimanjaro sio kweli.ukweli ni kwamba kilimanjaro ni mkoa ulioendelea katika mambo ya elimu na kuwa na shule nyingi,sababu ni za kihistoria zaidi,wamisionari walichangia sana kwa hilo.

Hiv wayahudi wameungua meno,ma ta ko flat,matiti mzigo,marienge mmmmmhhhhh haya
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom