Wakasha fukunu
Member
- Feb 8, 2012
- 29
- 24
Nchini Tanzania kabila la wachaga kwa asilimia kubwa lina uhusiano na asili ya uyahudi.
kuna koo kubwa kama Nkya.,Mushi,kileo,Lema,Munisi,Munishi,kirenga., ambao ancestor wake au baba yao Mweri alihamia Kando kando ya mlima kilimanjaro maeneo ya kibosho ambapo baadae alizaa watoto na mtoto mkubwa aliitwa Munisi au Munishi au Nkya yote yana maana moja yani mwenye nchi na kichaga mtoto wa kwanza hakuwa wa baba bali mtoto wa Mungu kama ilivyo kwa wayahudi ya kuwa mzawa wa kwanza ni wa Bwana.huyu mweri aliamia Kenya ambapo mababu zake walikuwa na asili ya huko Ethiopia ambapo huko kuna jamii kubwa mno ya wayahudi weusi duniani.
wachaga wamekua ni watu wanaambatana na baraka za Mungu kama wamefanikiwa kibiashara Tanzania kama walivyo wenzao huko marekani
pia wamekuwa watu walioshika nyenzo kubwa za uchumi kama mabenki
katika vyuo vikuu wasomi wengi ni wachaga.
pia mkoa wa kilimanjaro umekuwa chemchem ya elimu Tanzania katika wasomi wakubwa utakao kutana nao kati ya kumi nane waliasoma Kulimanjaro.
pia katika nyanja za siasa wanasiasa wakubwa nao wametokea Kilimanjaro kama Mbowe,Mrema.mbatia.anna mkapa.ananilea Nkya.Mengi,pia kijana Billionaire Patrick Ngowi
zaidi ni watu wenye hofu ya Mungu ndio maana walipokea wamissionari vizuri na pia ni watoaji wazuri wa zakha na pia katika kumjengea Mungu nyumba za ibada.
Wanaweza kuishi sehemu yeyote na wana kibali cha kukubalika katika jamii za watu mbalimbali ndio kla mahali Africa masharik wapo
wengi wao hawana visogo kama walivyo wenzao jirani zao kutoka masharik ya kati.mfano tafuta mzenji mwenye kichogo .hakuna,pia wale mababu wa kichaga walikuwa warefu wenye nywele za singa pua ndefu na weusi.very inteligent .