Black Rob naye afariki dunia

Hahahaaa wote tupo chijijini huyo era ya kina Aaliyah,Brandy,Monica,Queen Latifah,Mc Lyte,Missy Elliot 90s-2000.
Hivi Monica na brandy walishaolewa? Bado wapo kwenye gemu?,
The boy is mine iliwatoa sana
 
Hahahaaa wote tupo chijijini huyo era ya kina Aaliyah,Brandy,Monica,Queen Latifah,Mc Lyte,Missy Elliot 90s-2000.
Mimi mpaka leo nina playlist moja matata sana ina nyimbo nyingi kali za 90's za kina busta rhymes, timbaland, fugees, mob deep, big pun, fat joe, ludacris, ja rule, dmx, dre, snoop, xhibit, Nas.... dah.. huwezi amini hawa jamaa wengi walivuma kati ya 1990 - 1995 huko.
 

Yes 90s-2000 walivuma sana hao.
 
Mob deep-shook ones
Moja ya goma ilitamba na itaendelea kutamba,mtu yoyote ambaye ni hiphop head
Hilo goma lazima alirequest

Ova
 
Jamaa alifilisika Sana hadi anafariki alikuwa homeless person
Ila P diddy sio mtu mzuri kwa utajiri alionao alitakiwa amsaidie jamaa manake aliinua Sana label ya bad boys
Haya mambo usihukumu bila kujua habari, kuna watu wengine hawataki kusaidiwa.Kuna wengine ni wahanga wa madawa wanasaidiwa sana wanarudi mtaani.

Sisemi kwamba ilikuwa hivyo, ila kabla ya kumlaumu P Diddy inabidi ujiridhishe kwamba lawama ziko upande gani.

May all beings attain enlightenment.
 
Mase sasahivi ni Pastor, kiongozi kabisa wa kanisa kubwa tu
 
Lil' Ceaser
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…