Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haaaaa aaa, 😁Dah mie nilikua muumini mno enzi hizo..ss hv naimbA parapanda italia parapandaa...
Subiri King Kong III aje ndo anajua vizuriHivi wametangaza mazishi wanasafirisha kwenda Moshi au wameamua wazikie Dar? Poleni wafiwa
Namfahamu basi hata, uzee huu huku kijijini na mambo ya wazungu wap na wap King Kong III?
Dah mie nilikua muumini mno enzi hizo..ss hv naimbA parapanda italia parapandaa...
Mie hqd sound iko kichwan bado
Subiri King Kong III aje ndo anajua vizuri
Every sato nakumbushiaga .....kuna chaka 1 lina hayo madude awww ..nafika mbali sana ...!Haahaaa siku moja moja kumbushia old xuls.
Every sato nakumbushiaga .....kuna chaka 1 lina hayo madude awww ..nafika mbali sana ...!
Hivi Monica na brandy walishaolewa? Bado wapo kwenye gemu?,Hahahaaa wote tupo chijijini huyo era ya kina Aaliyah,Brandy,Monica,Queen Latifah,Mc Lyte,Missy Elliot 90s-2000.
Hivi Monica na brandy walishaolewa? Bado wapo kwenye gemu?,
The boy is mine iliwatoa sana
Mimi mpaka leo nina playlist moja matata sana ina nyimbo nyingi kali za 90's za kina busta rhymes, timbaland, fugees, mob deep, big pun, fat joe, ludacris, ja rule, dmx, dre, snoop, xhibit, Nas.... dah.. huwezi amini hawa jamaa wengi walivuma kati ya 1990 - 1995 huko.Hahahaaa wote tupo chijijini huyo era ya kina Aaliyah,Brandy,Monica,Queen Latifah,Mc Lyte,Missy Elliot 90s-2000.
Mimi mpaka leo nina playlist moja matata sana ina nyimbo nyingi kali za 90's za kina busta rhymes, timbaland, fugees, mob deep, big pun, fat joe, ludacris, ja rule, dmx, dre, snoop, xhibit, Nas.... dah.. huwezi amini hawa jamaa wengi walivuma kati ya 1990 - 1995 huko.
Mob deep-shook onesMimi mpaka leo nina playlist moja matata sana ina nyimbo nyingi kali za 90's za kina busta rhymes, timbaland, fugees, mob deep, big pun, fat joe, ludacris, ja rule, dmx, dre, snoop, xhibit, Nas.... dah.. huwezi amini hawa jamaa wengi walivuma kati ya 1990 - 1995 huko.
i dare uAmefariki jana, akiwa na umri wa miaka 51. Ni rap aliyekuwa na pdiddy kwenye kundi la Bad Boyz. Ngoma yake iliyomtambulisha na ambayo ilinifanya ni mjue ni like wooh.
Amefariki dunia baada ya kupita siku 10 tangu mkali mwingine wa hizo kazi DMX kufariki.
RIP
View attachment 1755915
Haya mambo usihukumu bila kujua habari, kuna watu wengine hawataki kusaidiwa.Kuna wengine ni wahanga wa madawa wanasaidiwa sana wanarudi mtaani.Jamaa alifilisika Sana hadi anafariki alikuwa homeless person
Ila P diddy sio mtu mzuri kwa utajiri alionao alitakiwa amsaidie jamaa manake aliinua Sana label ya bad boys
Mase sasahivi ni Pastor, kiongozi kabisa wa kanisa kubwa tuP didy analalamikiwa kuwa na mikataba mibovu,vijana wenye njaa husaini bila kusoma vizuri,mfano Mase,Craig Mark,112 ambao walitaka kubadili jina ili wawe huru Diddy akawaambia walipe brand ya jina tokea walipoanza,jamaa wakaghairisha [emoji134]huyu jamaa huyuu
Lil' CeaserI hit to the scene in '95 like WHOA!
Broke like a motherf**kin' dog like WHOA!
Robbin' niggaz cribs in Mid-Town like WHOA!
A bunch of white hoes following like WHOA!
They pulling my pants down, sh*t, I'm like WHOA!
They giving me h3ad now, we all like WHOA!
She swallowed the whole d!ck, I'm like WHOA!
come through in X5 like WHOA!!
My nikka like dough nice clothes.
We gon' keep it going
We gon' give you a little taste of the WHOA!
young guns,Bad Boy baby
We won't stop cuz we can't stop!
King Kong III like WHOA
Bushmamy Like WHOA
Wangari Maathai Like WHOA.
View attachment 1756947